huu

Trần Văn Hữu (Vietnamese: [t͡ɕən˨˩ van˧˧ hiw˦ˀ˥]; 9 March 1896 – 17 January 1984) served as president of Cochinchina's government from 1948 to 1949, and as Prime Minister of the State of Vietnam of the State of Vietnam from 1950 to 1952.

View More On Wikipedia.org
  1. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nimewaza sana ila huu ndio ukweli.

    1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu. 2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu. 3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hawa Mashetani wanashuka Daraja huu Msimu!

    Ngumu kubabali, ila huu mwaka wanashuka.
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Tafadhali usirudie tena kuwaombea wafu. It's a waste of time

    Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu: Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde...
  4. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli

    Huu ndio ukweli asilimia 100% wamama ndio watunzaji wawatoto kwenye familia. Wababa wao kazi zao kubwa nikuwapiga watoto na mama na kukimbilia kwa michepuko kuwahudumia . Halafu wanaume wengi kutoa zamani wanapenda kutunzwa sana tu mwanamke anaamka asubuhi anaenda kutafuta chochote kitu ili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unamsomesha mwanao international school, madrasa unamnyima?

    Huu ni ujinga mkuu. Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini. Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha. Jitafakari sana. Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa...
  6. certified Msela

    JamiiForums Tanzania Naamini Kuna Siri Imejificha juu ya huu Ugonjwa wa HIV

    Habari wana JF. Mimi ni member wa muda mrefu ila kwa muda kidogo sikuwa nimeingia humu na bahati mbaya nikawa nimesahau Login details hivyo kunipasa kufungua Ac mpya. Kuna kitu kinanipa maswali mengi kuhusu hii kitu inaitwa HIV. Niliwahi pita na mtoto mmoja wa kimbulu miaka ya 2020 wakati...
  7. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Picha la Kutisha. Kama roho yako nyepesi usifungue huu Uzi

    Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa. Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la...
Back
Top Bottom