The expected! Sishangai hata kidogo....subiri hukumu sasa utasikia matusi, vioja, uuaji, ukatili and the likeAfu mtu anakuja kusema uhuru wa vyombo vya habari.
Atakuwa amelogwa
What if they freeze the Star link?Ukiona hivyo wameshanunuliwa kwa bahasha ya kaki ila tutapata habari tu iwe isiwe kupitia mitandao ya jamii.