Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,897
- 5,190
Mda kuroga huu unalalaje kizembe
Unaringa na Glue mzee, wewe kweli falaMda kuroga huu unalalaje kizembeView attachment 3707393
Kama ng'ombe tunazingatia mda, tunakata gogo uku tunatembea😁Duh! Mambo ni mengi kuliko muda
Apo unaona kama kanyoka ila ad nimemaliza na kushona sio kanyoka tena n kiumbe mkubwa uyo, kwa wanao jua izi kaz washaelewaKaka uko wapi nikujoin
Ila mwanangu una mbwembwe so umechora kanyoka hapo...
Wewe umeona glue tu apo na bado mtatukana sna ila mkiingia Anga za wakubwa kinawalambaUnaringa na Glue mzee, wewe kweli fala
Gundi ina kazi gan mkuu, Hapo kwenye ulozi wako.Wewe umeona glue tu apo na bado mtatukana sna ila mkiingia Anga za wakubwa kinawalamba
😅hahahaha,kazi kazi
Sasa unatukana alafu ujui, asie jua mana na akaleta ujuaji usimpe manaGundi ina kazi gan mkuu, Hapo kwenye ulizidi wako.
Nyie ndio waafrika halisi!Wewe umeona glue tu apo na bado mtatukana sna ila mkiingia Anga za wakubwa kinawalamba
TawileNyie ndio waafrika halisi!
😝😝😝kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
Huyo kiumbe kazi yake nn haswaApo unaona kama kanyoka ila ad nimemaliza na kushona sio kanyoka tena n kiumbe mkubwa uyo, Wa najua izi kaz washaelewa
Faida kubwa n kusaidia watu kutoka kwenye mikono ya watu wenye hila na hasdi, faida ingine kupata baraka kwa ulie msaidia, kupata baraka kutoka kwenye Asili na Mungu mwenyewe Alie toa hii karma kwakoIla nyie jamaa mna hekaheka kuliko mainjia wa kichina.
Naomba kujua faida kuua za mishe hizo, maana kwa baadhi ya watu usiku ni mapambano na nyie.
Kama ni hivyo, fanyeni namna ya kuboresha kazi kwa kuweka udhibiti wa ubora - TBS.Faida kubwa n kusaidia watu kutoka kwenye mikono ya watu wenye hila na hasdi, faida ingine kupata baraka kwa ulie msaidia, kupata baraka kutoka kwenye Asili na Mungu mwenyewe Alie toa hii karma kwako