comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,098
Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli.
Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya tarehe 6 hayatuhusu sisi kinachotuhusu ni kushangilia ushindi wa simba tuu, mambo ya kisiasa na kesi tuiachie mahakama yetu tukufu, hakuna siku Nina furaha kama leo nikipita kila mahali watu wanabishana na kutukanana kuhusu ushindi wa simba hii ni ishara njema kwamba wananchi wanapenda michezo.
Natamani miaka 30 ya bongo flava iwe ijumaa hii week imekaa kiburudani sana watanzania.
Tuilinde amani kwa wivu mkubwa sana kama amani isingekuwepo hata hizi Raha za kifootball tusingezipata