humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha. Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa...
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa CCM na Humphrey Polepole

    Moja kati ya tabia ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM ni unafiki hasa wale viongozi wa juu ikitokea Rais aliyekuwepo madarakani analipendelea tabaka fulani basi humkingia kifua na kufumbia mabaya yake ila akija rais mwengne akiwatenga au kua na sera tofauti na zao wananza kukukosa kudhihaki...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

    Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani? Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa...
  4. G.T.L

    JamiiForums Tanzania Umri wa Humphrey Polepole

    Wakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs. Ikabidi tuingie Google tukakutana na hii kwamba ana Umri wa miaka 55. Je, Ni kweli kwa wale wanaomjua au ni Google imeingia chaka? Ni...
  5. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni mpango wa Mungu. Ni unabii ambao ni lazima utimie

    Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu. Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Maggid Mjengwa: Kujiuzulu Ubalozi Humphrey Polepole na sababu alizozitoa, moja kwa moja kunaathiri taswira ya Rais Samia na nchi kimataifa

    https://youtu.be/8oVTtfCKXO0?si=PKh_LAr4ch4NzT-z Anasema: ➡Sababu alizozitoa sio za kidiplomasia, ni za hali ya kisiasa na utawala wa ndani ya nchi... ➡Tukio hili la kujiuzulu balozi ni la pili sasa. La kwanza ni miaka ya 1960s ambapo Christopher Kassanga akiwa balozi kule Uingereza...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu nimegundua: Millard Ayo hajaripoti habari za Humphrey Polepole kujizulu Ubalozi

    Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu.. Kama ni kweli, kwanini ? I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole Agosti 2020 ulisema hadharani kuwa fomu ya Urais ni 1 tu ya Magufuli, kwanini isiwe 2025?

    Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM, kuna nafasi ukikaa unakutana na bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini, wengine wameshika makali. Kupata mgao wa milioni 50, 70, 100 bila msingi wowote ni jambo la kawaida tu Polepole na watu wachache ndani ya CCM wanalalamikia maamuzi ya Samia na...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida, aachia comments kujadili suala la Humphrey Polepole

    Hawa watu wa CCM wamekuwa na "ujinga" wa kupost vitu halafu wanafunga comments.
  10. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Utendaji mbovu wa Humphrey Polepole ndiyo sababu ya kuenguliwa

    Wakuu nimekutana na hii Taarifa je ni ya kweli?
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole naye atatungiwa msamiati kama alivyotungiwa Gwajima?

    Barua ya kujiuzulu aliyoiandika Bw. H. Polepole, si tu ni barua ya kujiuzulu, bali ni barua inayomkosoa Rais Samia kwa uongozi wake wa chama chake na nchi/ serikali kwa ujumla. Ni barua inayokosoa uwezo wa kuongoza wa Rais Samia. Sasa sijui kama Samia naye kaliona hilo au labda ataendelea...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kassim Majaaliwa philip mpango Humphrey Polepole nani anafuata ?

    Wazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata. Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan anafata badala ya aliekua wazir mkuu kasim majaliwa na vice president mpango na balozi wa Tz Cuba...
  13. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

    More to come… Kaiweka barua mwenyewe mtandaoni: ======= Kwa heshima na unyenyekevu, naomba kukutaarifu kuwa nimefikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yangu ya Uongozi wa Umma nikiwa Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Havana – Cuba, pamoja na uwakilishi wa...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Je,Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika kama Kiongozi

    Wakuu, Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika? Mimi najua tu ni Kiongozi Mahiri, Mwanasheria na Mwanadiplomasia.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

    Maria Sarungi NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️ Pole zako kaka Humphrey Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana! Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
  17. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni mmoja kati ya mamilioni. Apewe maua yake

    Kibongo bongo yeyote anaejiuzulu apewe maua yake. Humphrey Polepole ni one in a million. Nimeona kuna watu wanahoji Polepole kwanini hakufanya wakati wa JPM? kama tatizo ni ukiukaji wa haki za binadamu. Kwanza kutowajibika wakati fulani haikuzui kuwajibika baadae. Kisa wakati fulani hukukemea...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania , Muda wowote nitaijibu barua ya kujiuzulu iliyoandikwa na polepole aliyekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba. Nitazijibu hoja zote alizoziandika katika barua yake. Nitajibu kwa kufafanua kwa undani kabisa na kuonyesha Unafiki wake wa Kiwango cha juu alichoonyesha kupitia...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Mtibeli aliyevaa bomu la kujitoa Mhanga

    Hamjambo! Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI. Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya katika barua yake ni kumkabili moja kwa Moja mwajiri wake, yaani Rais. Kwamba, matendo ya Rais ndio...
  20. 888I

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ajivua uongozi: Ni utu, ujasiri au kujipanga upya?

    Wakuu, Leo tunashuhudia jambo ambalo si la kawaida kwenye siasa za Tanzania. Humphrey Polepole mwanasiasa wa muda mrefu wa CCM, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa zamani, Mbunge, na kisha Balozi – ameandika barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake ya uongozi wa umma na ubalozi. Lakini si kujiuzulu tu...
Back
Top Bottom