humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania SHIKAMO COMRADE HUMPHREY POLEPOLE

    Ni lazima Magugu yatengane na ngano. Kuna watu ukiona wanafanya mambo ndivyo sivyo ilihali Mungu amewaumba kwa usahihi na uaminifu mkubwa, unabaki kuumia moyo. Unajiuliza,,hata huyu??? Niliuliza wakati fulani hapa JF, hata Mpango anashindwa kuliponya Taifa? Watu wengine wote wanaweza...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Ipo serikali nyingine isiyoonekana (ya wasiojulikana). Hii ndiyo inayoamua kila kitu na hii nyingine ya nje ni mwanasesere tu

    "....Tanzania imetekwa na kakikundi kanakojiita serikali ndani serikali maarufu kama "Futungo State" kama ilivyokuwa kule Congo au "Parallel State" kama ilivyokuwa kule Angola Hivi ni vikundi vya watu wachache (serikali ya wasiojulikana) waliounda kiserikali chao ndani ya serikali tunayoijua...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunajua Humphrey Polepole alipelekwa kuwa balozi sababu alianza kuwa maarufu na angekuwa tishio katika kuteua mgombea wa Uraisi wa CCM wa 2025

    Ukiangalia safu ya watu wa CCM ambao wanaweza kuwa serious na uongozi wa Tanzania na hata mambo ya kifisadi, aliebaki labda ni Humprey Polepople. Sasa uwepo wake ndani ya Tanzania, na ukizingatia jinsi alivyoanza kujipatia umaarufu kwa hoja zake wakati wa zile seminar zake, ilibidi andolewe...
  4. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa

    Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi. Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania "CCM Imepigwa COPY". Jee Ndio Sababu ya Polepole Kufichwa Cuba anyamaze?

    Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na uongozi haupo tena kwenye "nakala halisi" bali uko chini ya copy na hatujui hiyo copy nani...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Huwezi kuwa askari wa Jeshi la wananchi Tanzania bila kuwa mwanachama wa CCM

    Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM. Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements nyingi tu za kisiasa kama huko China na ndio maana mpaka leo moja ya vyama rafiki vya CCM ni CCP ya...
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tunaposema CCM ni mchwa watanzania muelewe, hawana huruma

    Wasalaam. Sikiliza kwa makini. Moja ya kauli alizowahi kuoangea Polepole wakati akiwa katibu mwenezi wa CCM
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimemkuta Polepole?

    Huyu muheshimiwa kila nikimwona ananikumbusha kile kikopo cha mafuta alichoachiwa pale Dodoma. TUKATAE WAHUNI!
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue haraka Paul Makonda au Humphrey Polepole kuchukua nafasi ya Amos Makalla

    Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani. Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda. Asante.
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole andaa Suti

    Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini, Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka Britanicca
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Cyprian Musiba: Polepole, Bashiru warudishwe kupambana na CHADEMA ya Lissu

    Cyprian Musiba amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwarudisha wanachama wake wenye nguvu ambao wanaweza kupambana na ajenda zitakazokuwa zinaibuliwa na wapinzani kutokana na ingizo la uongozi mpya wa CHADEMA ukiongozwa na Tundu Lissu. Soma, Pia: Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu...
  12. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Ni Humphrey Polepole Na Tashtwiti Yangu...

    Wandugu Habarini... Nimepata Tashtwiti Ya Kuandika Leo Juu Ya Humphrey Polepole Baada Ya Kutafakari Kwa Kina. Ni Wazi Hakuna Mpenzi Wa Siasa Za Tanzania Asiyemjua Huyu Jamaa. Naweza Sema Kwa Namna Moja Au Nyingine Alikua Nyota Ya Mchezo Sana Katika Kubadilisha Siasa Za Nchi Hii Kipindi Cha...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  14. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni meneja wa Rais 2025 awe Humphrey Polepole, Luhaga Mpina, prof. Kitila Mkumbwa na Ally Bashiru

    Rais nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Pole na heka heka za NYERERE day, huku mwenge, pamoja na kufanyia kazi mafaili mbalilimbali yanakuwepo kila siku juu ya meza Yako. Hakika Mungu akutie nguvu na akuponye na kikohozi pamoja na mafua yaliyokutinga jana pale mwanza, bila...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Tuwe makini na wahuni, wanaweza kuipiga copy serikali

    Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi. Kule Angola kikundi hicho kinaitwa FUTUNGO. Wahuni...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

    Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm ...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anafanya kazi ya Ubalozi hasa! Anatafuta fursa kwa nchi. Kwa hili, nampongeza

    Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha. Msikilize hapa kwenye video clip hii
  19. voicer

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

    Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025! CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia! Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
Back
Top Bottom