Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district
Kuibuka kwa Humphrey Polepole, Balozi, Mbunge mstaafu na Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na kuikosoa serikali yake na uongozi unaoongoza serikali hiyo vikali sana katika wakati huu usiotarajiwa ni Ujumbe mkali kwa Watekaji na Wauaji kuwa, Kamwe huwezi kuteka wakosoaji ukawamaliza, ukaua wakosoaji...
Wakuu!
Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa", ukitazama ni kama wametumiwa na mtu mmoja kisha wao wamepost...
Ujasiri kwa Upinzani, Kimya kwa CCM
Jana, kupitia ukurasa wake wa Facebook, Balozi Humphrey Polepole alitoa maoni bila kupepesa macho kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwania tena urais na kuvunjwa kwa baadhi ya desturi za Chama cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo, magazeti nchini yameshindwa kuripoti...
Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za wabunge. Je hali inaweza kubadilika ili kufuata kile Humphrey amesema kukiukwa kwa tamaduni za CCM? Na je...
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu.
Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir
Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?
Polepole ameelea kuwa asingeweza kukosoa huku akiwa Balozi
"Mimi ni balozi kama nyie hamsemi mimi nitasema, lakini siwezi kusema nikiwa balozi. Mama huyu ananipa mimi kula na familia yangu, siwezi tena kuwa nakula vya mama vya mama halafu naenda kusema kukosoa chama mana nikikosoa chama...
Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba...
Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa.
"Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza ratiba tunataka watu waje kuomba. Kuomba ni unyenyekevu mana uongozi siyo mali ya baba yako"
Wakuu!
Ule Mkutano na Vyombo vya Habari wa Humphrey Polepole ndio leo – Julai 18, 2025 saa 5:00 asubuhi.
Awali, mkutano huu ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 17, lakini Polepole alitangaza kuusogeza mbele hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025.
Unategemea kusikia nini kutoka kwake...
Wakuu!
Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."
Andiko lake limekuja masaa...
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17...
Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na tunalisubiri kwa hamu.
Huu sio wakati wa kuangalia sana madhaifu ya comred Polepole bali ni wakati wa...
Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo.
1. Timing yako kulifanya hili jambo ni nzuri sana, umechagua muda muafaka
Kipindi hiki bi kilembwe anapambania hali yake, japo ana majeshi na mavyombo yote ya kumfanyia anachokitaka lakini hulka ya binadamu huwa...
Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
Ndugu zangu Watanzania,
Mara Baada ya Kuingia Madarakani Rais wetu Mpendwa aliikuta Nchi ikiwa na mgawanyiko mkubwa sana na kukiwa hakuna Umoja wa kitaifa kutokana na chuki za kisiasa kumomonyoa umoja wetu. Ilifikia wakati huku mitaani watu walizikwa kwa kufuata itikadi za kisiasa . Yaani kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Usiku wa Deni hauchelewi kukucha, ahadi ni Deni. Kesho Asubuhi na Mapema nitashusha Uzi na andiko zito sana la kujibu Barua ya Polepole. Andiko ambalo litaitetemesha Nchi na jukwaa hili la siasa.
Ni andiko zito kwelikweli ambalo wenye machozi ya karibu mtajikuta...
Kama jamii tunapaswa na tunaaswa kumuuliza kwa kina Balozi Humphrey PolePole ni mambo gani muhimu ameyatekeleza akiwa anahudumu kama balozi Malawi na ukanda wa karibiani.
Zaidi aeleze ni makubwa gani alipanga kuyatekeleza akiwa kama balozi wa maeneo tajwa na hivyo kumsaidia Mhe.Rais kwa nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.