Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).
Wakuu,
Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili?
Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria.
Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
TBS YAKABIDHIWA CHETI CHA ITHIBATI YA UTOAJI HUDUMA ZA UTHIBITISHAJI MIFUMO YA KIMENEJIMENTI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb), akikabidhiwa cheti na Mratibu kutoka taasisi ya Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCAS), Bw. Victor...
Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Simu inayomilikiwa na serikali nchini Ethiopia, Mei 9 ilizindua huduma ya simu za mkononi ya 5G na kuifanya nchi hiyobkuwa miongoni mwa nchi chache zenye huduma hiyo barani Afrika, ikiwa ni pamoja na Kenya katika Afrika Mashariki,
Mkurugenzi Mtendaji wa Ethio...
Chuo cha Ualimu Korogwe Mkoani Tanga, pamoja na kutoa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), lakini chuo hicho hakina huduma ya internet, hivyo kuwafanya wanafunzi wanaojitunza kozi hiyo kuwa ngumu wakati wa kufanya mafunzo ya vitendo.
Lakini pia, pamoja na Serikali kujenga...
Siku chache zilizopita nimetumia muda mwingi barabarani nikitumia usafiri wa Mabasi yanayofanya safari kati ya Dar Es Salaama na Arusha.
Hakika kuna mengi nimeshuhudia yanayokera mpaka unajiuliza ziko wapi Mamlaka zinazotakiwa kusimamia na kutoa miongozo, ina mana hawaoni haya?
Kati ya mambo...
Ndugu mfanyabiashara, kwanini uwakimbie TRA kwa kukosa mashine ya EFD?
Tumekuja na suluhishilo la tatizo lako. Sasa unaweza kutumia simu yako janja kutoa risiti ya EFD na kumtumia mnunuzi.
Gharama kwa mwaka wa kwanza, Mfumo Tsh 90,000 pamoja na printer Tsh 150,000 then kila mwaka unalipia Tsh...
Nenda radio zote, hasa za mikoani utaona wana vipindi kibao vikitangaza tiba asili na tiba mbadala. Wengi unawakuta wanaelezea magonjwa kama UTI, utasa, nguvu za kiume nk. Wengi wanaelezea kwa uelewa wa kuungaunga na upotoshaji. Sheria ya kutotangaza huduma ya afya iliwekwa kwa ili kumlinda...
Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!!
Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland
Russia’s state-owned energy...
Baada ya Kampuni ya Uber kusitisha baadhi ya huduma zake Nchini Tanzania, huenda Kampuni ya Bolt nayo ikafanya hivyo kwa upande wa Huduma za Usafiri wa Gari kutokana na ada ya huduma ya 15% iliyowekwa na LATRA
Meneja wa Bolt Kanda ya Afrika Mashariki, Kenneth Micah amesema Kampuni hiyo imeomba...
Hata kama wamepata balozi mzuri wa kuwatangazia matangazo yao tatizo sio matangazo bali ni huduma.
Airtel money changamoto,kama una haraka huwezi kutoa pesa fasta ukaondoka.
Kupiga simu,wanatoa dk nyingi sana za kuwasiliana lakini unaweza kutumia dk mpaka 5 hamuelewani mnabaki kuulizana...
Wakuu bila kupoteza muda.
Kama mnavyojua, gharama za ndege, miaka michache hapo nyuma zilipanda kwa speed ya mwendokasi. Basi kama ujuavyo sisi wazee wa uchumi wa kuunga unga tunakuwa hatuna option nyingine zaidi ya kupanda ma-bus.
Nipo hapa nafanya plan yangu ya safari zangu za Dar - Mbeya...
Karibu Africa Rise Up, upate design ya uhakika ya bidhaa yako kutoka kwa professional designers wetu.
Tunapatikana Mianzini Mataa.
Bei:35000/=
Tupigie namba: 0788 429 756
0752 466 942
Zamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya kabisaaa. Achana na kale ka kukataa mimba ambazo wanajua kabisa wao ni wahusika; Wanaume wengi wamekua...
Karibu Africa Rise Up Company kwa huduma za Large format printing tunapatikana Arusha, Mianzini Mataa
Au tupigie: 0752 466 942
0788 429 756
e-mail:africanriseup@hotmail.com
"Wizara ya Afya kuanza kukagua ubora katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini," hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Profesa, Abel Makubi katika mkutano wa viongozi wa vyama vya kitaaluma vya Afya uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Prof. Makubi amesema kuelekea uboreshaji wa...
Karibu Africa Rise Up Company kwa huduma bora ya Embroidery (Kudarizi) tunapatikana Arusha, Mianzini Mataa
Au tupigie: 0752 466 942
0788 429 756
e-mail:africanriseup@hotmail.com
BENKI YA STANDARD CHATERED KUFUNGWA ZIMBABWE,INAPUNGUZA HUDUMA TANZANIA.
LONDON, Uingereza - Benki kongwe zaidi ya Zimbabwe ya Standard Chartered imefunga shughuli zake nchini Zimbabwe na nchi nyingine sita za Afrika na Mashariki ya Kati kama inataka kuboresha faida kwa kupunguza mwelekeo wake...
Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti.
Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa kumnyofoa Joti kutoka Tigo; nikawaza au labda huyu muwekezaji mpya alieingia Tigo amechagiza jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.