huduma mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X men

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 Smartcard ya decoder ya Azam ilisumbua nikawaomba msaada, Wamenijibu 2024

    Moja ya matatizo makubwa ya hizi taasisi kubwa nchini ni kuwa wazito kwenye kujibu na kutatua changamoto za watu/wateja wao kupitia mitandao ya kijamii. Wengi huwa wanapost kitu kwenye social media page zao lakini hawa reply chochote kutokana na comments za followers, sio huko tu hata ukienda...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huduma mbovu Hospitali ya Rufaa Ligula - Mtwara

    Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭. Mtandao wao...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito. Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma zao ni mbovu hasa upande wa Wodi ya Wajawazito. Watumishi wa Kituo hicho cha Serikali ambacho pia...
  4. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Kwanini benki za Tanzania zina huduma mbovu na ukiritimba mwingi, haziendani na nyakati za sasa

    Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ. Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote. Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania NSSF Arusha kuna kero ya huduma mbovu, kila siku wanasingizia ‘network’

    Mimi ni mkazi wa Arusha, kero yangu ni kuhusu Ofisi ya NSSF Arusha, kuna usumbufu mwingi wanaofanyiwa baadhi ya watu wanaoenda kudai mafao. Awali, niliambiwa na wenzangu kuhusu usumbufu uliopo kwenye taasisi hiyo na uwepo wa mazingira ya kutengenezwa kutoa ‘kitu kidogo’. Nilifika hatika ofisi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chawa wa Mama ni sahihi, ila ya kupinga huduma mbovu nchini ni kupigwa virungu!

    Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu! Inakuaje kinyume watu wakitaka kuandamana ikiwa hawajaridhika na utendaji wa serikali? Kwanini waandamanaji wanachukuliwa kama wahalifu na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mtei Express Babati - Dar mna huduma mbovu sana zisizoendana na nauli

    Hili basi lilipoanza huduma ya Luxury mara ya kwanza lilikuwa vizuri ila kadri siku zilivyoenda huduma zimegeuka kuwa za hovyo sijui tatizo ni nini, Usimamizi mbovu no customer care at all imagine na hii ni Luxury na imeidhinishwa kama gari la level ya Luxury na wanatambulika LATRA kama Luxury...
  8. ngungwangungwa

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Airtel kwenye vifurushi na huduma mbovu za TCRA

    Wakuu, Nilijiunga kifurushi cha Airtel cha Uniofa ambacho unapata dakika 40, sms 10 na mb 350 kwa muda wa siku 7. Kilichonishangaza leo asbh nilipoangalia salio, ikaonyesha kifurushi changu zile dakika 40 na sms zinaisha tar 04 June. Lkn zile mb zinaisha leo tarehe 31 May saa 2 asbh...
  9. Trab na Trat

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania ni kielelezo cha huduma mbovu za mawasiliano

    Hawa watu hawajali kabisa wateja wao hasa wanaoishi kwenye maeneo ya kipato cha chini. Kuanzia Jumamosi Jioni, huduma za internet zilishuka ghafla katika eneo la Chigongwe - Halmashauri ya Dodoma Jiji. Mpaka hivi leo huduma za internet zinasua sua na taarifa wanazo ila wameamua kupuuza...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kupandisha nauli ya Mwendokasi, DART zingatieni uchafu na huduma mbovu vituo vya Mwendokasi

    Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya uhuru, Je Mabadiliko ya tabianchi bado ni kichaka cha huduma mbovu za maji nchini?

    Kutokana na tatizo la Upatikanaji wa huduma Bora za Maji safi Nchini baadhi ya Wadau wamekuwa na mawazo tofauti. Kwa haya na mengine mengi, ungana nasi katika Mjadala unaoendelea kwenye mtandao wa Twitter. Bonyeza kwenye Kiunganishi hiki kushiriki mjadala: >>> JF SPACES Baadhi ya hoja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa. Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
  13. muzi

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Moshi huduma ni mbovu

    Yaani tulihama bank yetu pendwa ya wananchi tukitegemea huduma zenu no professional and timely lakini baada ya kupata wateja wengi mmekuwa mzigo. Mtu unakaa masaa matatu kutoa au kuweka hela tena katikati ya week. Ingekuwa Jumatatu tungesema sawa lakini J5, Alhamis na Ijumaa foleni ndefu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Huduma ya RITA inatia mashaka, nawashauri wajitathimini

    Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo! Ukichunguza kwa makini vyeti 8 kati ya 10 vilivyotolewa na RITA lazima utakuta dosari au changamoto! Miongoni mwa dosari hizo ni kama zifuatazo! 1. Mteja anaweza kuwa anaitwa ABDALLA lakini...
  15. vnn

    JamiiForums Tanzania Nakanusha: Hospitali za Umma hazipendi kutoa huduma mbovu isipokuwa majukumu yanawalemea

    Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi. Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote! Naomba nikanushe na nijibu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwanja wa Ndege wa Zanzibar una huduma mbovu, mtalii anazongwa na watu wenye uniform na wasio na uniform utadhani mwizi

    Huduma za kuingia na kutoka Zanzibar zipo tofauti Sana na huduma za viwanja vingine vya ndege Duniani. Nadhani mentality ya wizi au Rushwa umepelekea serikali ya Zanzibar kujaza taasisi nyingi zinazosumbua wageni kinyume kabisa na nchi nyingi. Nadhani uwanja una camera, ingetosha data...
  17. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Taasisi na mashirika ya Serikali ambayo yana huduma mbovu kwa wateja Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme 5. TRA 4. Polisi 3. Maji 2. Nida 1. Tanesco Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO wakiri kutoa huduma mbovu, ambao wameutaja kama udhaifu

    TANESCO wamekiri kutokuwa na uwezo wa uhifadhi ambao umeshauriwa kimataifa ambao ni 15%. Katika mpango mkakati wa 2020 - 2025 wamekiri kuwa utoaji wa huduma mbovu kuwa kati ya udhaifu walionao Kwa maneno ya moja kwa moja ni kuwa wamekuwa na panda shuka ya kutoa huduma ya umeme inayosababishwa...
  19. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Huduma mbovu Train ya Deluxe

    Wakuu heshima kwenu; Katika mashirika ya Serikali ambayo yanapaswa kuwa na huduma za kueleweka ni hili la huduma za usafiri,hasa nikimaanisha train maana ndio kuna mkono wa serikali ukitoa lile shirika lenye zile mashine zirukazo angani. Lakini katika hali ya kushangaza train ya deluxe kutoka...
  20. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Airtel Money na huduma ya ovyo kuwahi kutokea

    Nimekuwa nikitumia huduma za fedha za mitandao mingi ya simu lakini sijawahi kuona huduma ya hovyohovyo kama airtel money.Uhaka wa fedha yako kufika ulipoituma ni mdogo sana. Unaweza ukatuma hela unakatwa kodi, hela inapungua kwenye akaunti na utatumiwa meseji kuwa muamala umefanikiwa lakini cha...
Back
Top Bottom