huduma mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Spirit of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Huduma mbovu Train ya Deluxe

    Wakuu heshima kwenu; Katika mashirika ya Serikali ambayo yanapaswa kuwa na huduma za kueleweka ni hili la huduma za usafiri,hasa nikimaanisha train maana ndio kuna mkono wa serikali ukitoa lile shirika lenye zile mashine zirukazo angani. Lakini katika hali ya kushangaza train ya deluxe kutoka...
  2. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Airtel Money na huduma ya ovyo kuwahi kutokea

    Nimekuwa nikitumia huduma za fedha za mitandao mingi ya simu lakini sijawahi kuona huduma ya hovyohovyo kama airtel money.Uhaka wa fedha yako kufika ulipoituma ni mdogo sana. Unaweza ukatuma hela unakatwa kodi, hela inapungua kwenye akaunti na utatumiwa meseji kuwa muamala umefanikiwa lakini cha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania BRELA imerudi ilikotoka kwa kutoa huduma mbovu

    BRELA mmerudi kulekule enzi za Mwalimu za huduma mbovu. Kipindi Rais Magufuli hajafariki ilikuwa huwezi kukaa zaidi ya siku tatu baada ya kufile application yoyote bila kufanyiwa kazi na namba ya bosi ilikuwa kwenye website yao kwa sasa hadi mwezi watu hawajitingishi. Kuna umuhimu mkubwa wa...
  4. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania SoC01 Huduma mbovu katika Taasisi na mashirika ya Umma, ushauri na mapendekezo ya namna ya kuboresha

    Utangulizi. Kumekua na malalamiko mengi pamoja na changamoto katika huduma ambazo zinatolewa kwe Taasisi na Mashirika ya serikali kama vile elimu duni katika shule za umma, matibabu duni na ukosefu wa vifaa katika hospitali za umma, taasisi za fedha, mifuko ya hifadhi za jamii,vyombo vya...
  5. The Eric

    JamiiForums Tanzania Halotel huduma kwa wateja wana huduma mbovu mno

    Halo, Na niseme kwamba wahudumu wa mtandao wa simu halotel kitengo cha kupokea simu 100 huduma kwa wateja huwa wana huduma zisizo ridhisha na mbovu kuwahi kutokea. Sijui wamewaokota wapi hawa wahudumu wao wabovu namna hii, Kwanza wanatujibu vibaya wateja na wanafoka na mteja hata awe...
  6. 6321

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnafeli kutoa huduma bora maeneo yenu ya kazi na biashara

    Good morning future Billionnaires[emoji23] Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri. Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
Back
Top Bottom