huduma mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  2. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
  3. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ? Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Platinum Credit ni kampuni yenye huduma mbovu na zisizofaa. Walimu tunakopa kwa sababu ya shida tu.

    Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
  5. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu ya vyoo coco beach

    Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida. Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti itolewayo kwa huduma.
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwahiyo Mchengerwa wananchi wakitumia huduma mbovu ni sawa ila wakimpatia huduma hizo kiongozi ni Uhalifu?

    Wakuu, Mchengerwa OR TAMISEMI ameng'aka huko kuwa wananchi wachukuliwe hatua ikiwa watafanya kilichotokea chuga - wa Chuga waliwapitisha viongozi kwenye matope waone adha wanayopitia. Sasa kama hilo umeliita uhalifu, hauoni kama wewe Mchengerwa OR TAMISEMI na viongozi wako ndio wahalifu...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa kujuana

    Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi hawajali sana kuhusu ‘customer care’. Nilifika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya...
  8. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Huduma mbovu mabasi ya Kilimanjaro Bus

    Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari yamechakaa machafu, hawazingatii muda na wanalipisha gharama kubwa sana. Mfano km leo nilikua nimekata...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna uzembe mkubwa utoaji huduma Hospitali ya wilaya ya Chato (DH), mamlaka zifike kufanya uchunguzi

    Kuna uzembe mno katika utoaji wa huduma, nishaenda pale zaidi ya mara tatu hakuna dawa unaambiwa ukanunue, sio dawa kama hazipo, nishawahi liamsha pale kutaka kupiga hadi simu kwenye mamlaka za hospitali, ndipo nikapatiwa dawa. Mnaweza mkawa mpo kwenye foleni na hakuna anayejali, utakuta mtu...
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, ningependa kuwaambia CRDB Bank kuwa wana huduma mbovu kwa wateja

    Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu. Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na ipo siku kuna benki kubwa itakuja nyingine na tutaondoka kama lile tangazo la hamia Airtel. Mikopo...
  11. Girland

    JamiiForums Tanzania Kuna taasisi ya Serikali inaizidi DAWASA kwa huduma mbovu?

    Taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi kwa mazoea, kiufupi hawajali kabisa kuhusu muda wa mteja. Utaambiwa Mtandao unasumbua, au rudi kesho kana kwamba leo wamesimamishwa kazi. Utafikiri hawalipwi mishahara. Kama hamtaki kutuhudumia si mseme, mnakera kweli. Pia soma: Baadhi ya Taasisi za...
  12. Ngongo

    JamiiForums Tanzania NMB - Arusha Business Center huduma mbovu

    Heshima sana wana jamvi, NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa. Huduma za CRDB Premier zipo vizuri ukienda pale kama mtu wa level iliyokusudiwa wanakuelekeza tawi lingine. Huduma ya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Taasisi za Serikali zimekaa kiupigaji zaidi badala ya kutoa huduma bora kwa wananchi

    Kwanza nianze kwa kukiri kwamba watanzania ni watu wanaojituma sana kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kujipatia maendeleo. Ila inasikitisha kuwa jitihada za watanzania wengi zinazimishwa na watu wachache wanaoanzisha taasisi au mifuko kwa lengo la kujineemesha kwa kutumia pesa za wananchi...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuendelea kuchangia maendeleo kunawapa kiburi watawala kuendelea kutumia vibaya pesa za umma

    Kero za hii nchi zitatuliwa kwa mifumo Imara ya ufanyaji kazi na Serza nzuri. Sasa ni Vipi Mkuu wa wilaya anaweza tatua Tatizo la Ajira labda wilayani kwake bila National Policy? Mkuu wa Mkoa anaweza vipi tatua tatizo la aJira Mkoami kwake? Ana bajeti? Ni vipi huduma mbovu za Afya ziatatuliwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu za Benki ya ABC unapoomba mkopo

    Kero Tafadhari husika na kichwa tajwa hapo juu, Mie ni mdau wa huduma za kifedha kutoka kwa makampuni mengi yanayotoa huduma hizo kila siku na ninafanya biashara. Naomba kufikisha/ kusema/ kuwasilisha kero yangu kutoka mojawapo ya kampuni ya kifedha (African corporation Bank,ABC) inayotoa...
  16. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuzorota kwa Huduma/Shirika gani litakufanya usiipigie tena kura CCM?

    Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? 1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote. 2. Ya pili ni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu NHIF Ilala

    Mwishoni mwa mwezi Aprili nimeandika hapa malalamiko yangu kuhusu changamoto za utoaji huduma katika ofisi za Bima ya afya ya Taifa (Tawi la Ilala). Hii changamoto imekwenda mbali zaidi na sababu kubwa ikiwa ni utashi wenye mashaka kwa watoa huduma walionipatia huduma. Baada ya kulalamika...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mpaka taasisi zinagoma, sisi raia ndio wavumilivu sana na waelewa sana kila tunapopewa huduma mbovu na kunyimwa haki zetu?

    Wakuu, Ni kwamba "Wanyonge" ndio jina tulilokubali kuitwa na kuliishi hatuwezi kabisa kutoka humo hata tufanyiwe aina yoyote ya upuuzi hatutafanya kitu? Tunamuachia Mungu? Tunalipia huduma hizi ni haki yetu kupata kilicho bora. Tunanyonywa na kodi za kila aina kwanini hatu-DEMAND kupata...
  19. Amavubi

    JamiiForums Tanzania Hoteli za Morena na Huduma Mbovu

    Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA. Huduma zenu ni mbovu sana na za...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Momba alia na Wizara ya Afya kuhusu Huduma mbovu ya maji jimboni kwake

    Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo. Amedai maji wanayotumia Wanamomba hayastahili kutumiwa na Binadamu kutokana na kutokuwa masafi.
Back
Top Bottom