huduma kwa wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania NMB huduma kwa wateja inakawia sana tatizo lipo wapi?

    Inachukua mpaka masaa mawili pindi unapohitaji kuongea na watoa huduma kwa wateja, je shida ipo wapi? Uchache wa watoa huduma au ni uzembe wa watoa huduma? Au kuna tatizo kwenye kituo cha huduma kwa wateja? Ni NMB BANK
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania NMB Bank: Kitengo cha Mawasiliano mnatuma meseji zisioeleweka hafu ata hamtubembelezi wateja

    NMB kisa mna namba yangu nilijiunga na NMB Mobile ndio mmeamua kunitumia msg kibabe ata haieleweki. Huduma gani itakayositishwa? Huduma ya Bank au Mobile? Na itasitishwa hadi lini (kwa muda gani)? BTW situmiagi huduma zenu ni account ya kuingiza mshahara tu.
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya kuongea na huduma kwa wateja Vodacom ambayo sio 100

    Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana. Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao. Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali? Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
  5. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi Juni 8 na 9, 2024 nchi nzima

    Dar es Salaam, 07 Juni, 2024: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 08 Juni, 2024 na Jumapili tarehe 09 Juni, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka mitano ijayo nakuendelea Taasisi za umma ziboreshe vitengo vya huduma kwa wateja

    Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma kwa wateja UTT Amis ni mbovu, simu zinakatwa au hazipokelewi kabisa na kwenye mitandao ya kijamii hawajibu

    Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis? Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi...
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Customer care: Kuna shida kubwa sana kwa makampuni mengi hapa nchini kuwa na poor customer care kwa wateja wake. Toa ushuhuda wako hapa!

    Kama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Bolt kwanini hamna namba ya huduma kwa wateja? Mtu una dharura kupata msaada mpaka usubiri majibu Instagram, kweli?

    Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada. Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja kwa njia ya simu kwanini? Wanakimbia nini? Yaani wameweka njia ya kuwasiliana nao kwa njia ya email...
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa Wateja TANESCO yaelemewa, Simu zinazopigwa ni 40,000 zinazopokelewa ni 12,000 tu kwa siku

    Imebainika kuwa kati ya Wateja 10 wanaopiga Simu Huduma kwa Watje TANESCO, ni Wateja Watatu pekee wanaoweza kusikilizwa kwa siku katika kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika la hilo la Umeme. Hali hiyo imefanya Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kutaka mikakati ya muda mfupi kuboresha...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania TCRA wachunguzeni AIRTEL wameajiri watoa huduma kwa wateja wasio na qualification na hawawezi kutoa huduma za kitaalamu

    Ninaandika andiko hili kutoa malalamiko yangu kuhusu huduma za wateja zinazotolewa na kampuni ya Airtel Tanzania. Nilipojaribu kupata msaada kuhusu masuala yanayohusu mawasiliano, nilikumbana na changamoto kubwa. Inaonekana kwamba wafanyakazi wa huduma kwa wateja wa Airtel hawana ujuzi wala...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (kulia) akipokea fomu ya uwekezaji katika hatifungani ya kijani ya "Kijani Bond" kutoka kwa kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Afisa Mkuu wa Bishara Benki ya CRDB, Boma Raballa wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja 2023 iliyofanyika katika tawi la...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa wateja TANESCO kupitia namba 0748550000 ni Bomu la Nyuklia

    Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
  17. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa namba za WhatsApp za Huduma kwa Wateja Mitandao ya Simu

    Airtel Customer Care WhatsApp Number Vodacom Customer Care WhatsApp Number Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100 Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
  18. Brightburn

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji mbovu wa watoa huduma kwa wateja

    Heshima kwenu wakuu. Leo nimeona tuzungumzie kuhusu baadhi ya watoa huduma kwa wateja kutoka kwenye makampuni/biashara mbali mbali wanavyosababisha kero kubwa kwa wateja wao kutokana na uwajibikaji wao mbovu kabisa! Niliwahi kusikia malalmiko mengi sana kutoka kwa watu tofauti kuhusu kupewa...
  19. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kali ya Mwaka 2023! Huduma kwa Wateja Tanesco haiko hewani

    Naishi Tabata Chang:eek:mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

    Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
Back
Top Bottom