huduma kwa wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Simu huduma kwa wateja hawapokei simu kwa wakati

    Kuna wakati unapata dharura ya kuhitaji huduma kwa wateja watatue, unapopiga simu unakuta maelekezo mengi sana (hasa mitandao ya simu) na kisha inakuwa vigumu kusaidiwa. Kwa nini kusiwe na namba ya moja kwa moja wanapokea huduma kwa wateja?
  2. Zemanda

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom huduma kwa wateja ni tatizo

    Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja. Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna access ya kuzungumza na binadamu ambaye nitaweza muelezea shida yangu direct. Sina unakika kama hii ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Namba ya Huduma kwa Wateja ya Wizara ya Ardhi haipokelewi, siku nyingine haipatikani

    Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada wa kitaalamu unakuta namba haiiti na wameitangaza kwenye website ya wizara, au namba inaita ila...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni wapi zilipo ofisi za Bolt na namba za huduma kwa wateja?

    Hawa bolt wamefanikiwa sana kupanua wigo wa biashara yao. Ukikutana na adha ukahitaji usaidizi, kwenye menu yao ukianza kujaza tu unajibiwa na AI ambapo kunakuwa na gaps na majibu yao. Nani anahusika na ulinzi wa walaji. Latra mtuambie kwa huduma hii ya bolt, miundombinu mbinu ya kulinda...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya huduma kwa wateja Tanzania ni utapeli kwa jicho la pili

    Huduma kwa wateja ni kipengele muhimu katika kutoa huduma kwa kuwasaidia wateja kupata taarifa au utatuzi wa changamoto wanazokutana nazo. Lakini hapa nchini baadhi ya makampuni yanayotoa huduma mbalimbali yanatutesa sana yaani ufikiaji tu wa huduma kwa wateja unatumia gharama kubwa na bado...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania CRDB imewavalisha nguo na Kofia za CCM Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya kwenye wiki ya huduma kwa wateja

    Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya, wameiomba Serikali kuweka program ya elimu ya fedha kuwa endelevu ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kupata uelewa na kutatua changamoto mbalimbali za masuala ya kifedha. Wametoa wito huo walipotembelea Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha...
  7. Half american

    JamiiForums Tanzania Tukiwa kwenye mwezi wa huduma kwa wateja, tuwapongeze watoa huduma na taasisi ambazo zinatoa huduma nzuri na kutekeleza hitaji la mteja

    Mwezi huu oktoba ni mwezi wa huduma kwa wateja, ndani ya wiki hii zimeshuhudiwa taasisi nyingi zikiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. Huduma kwa Wateja ni sherehe ya kimataifa ya umuhimu wa huduma kwa wateja na ya watu wanaohudumia na kusaidia wateja kila siku . Wiki ya Huduma kwa Wateja...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom yawafikia abiria wa 'Treni ya Mwakyembe' kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

    Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Happiness Shuma (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) Never Daimon, na Mkuu wa Idara ya Mauzo wa Vodacom Business, Rahma Dachi wakiwa wakifurahia mara baada ya kukata utepe...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watoa Huduma Ajira Portal hawapokei simu, tunashindwa kufanya mabadiliko kwenye portal

    Habari, Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi. Najaribu kuwapigia simu lakini mtoa huduma hapokei kuongea na mimi na unakuta zinatumika dakika nyingi...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, ningependa kuwaambia CRDB Bank kuwa wana huduma mbovu kwa wateja

    Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu. Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na ipo siku kuna benki kubwa itakuja nyingine na tutaondoka kama lile tangazo la hamia Airtel. Mikopo...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia: Wiki ya Huduma kwa Wateja TotalEnergies Yamuunga Mkono Rais Samia, Kusambaza Gesi ya Majumbani Kila Kona Hadi Vijijini!

    TOTALENERGIES YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - NISHATI SAFI YA KUPIKIA, YAANZA KUSAMBAZA GESI YA KUPIKIA. Dar es salaam, tarehe 4 Oktoba 2024 – Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, imeamua kumuunga mkono Rais Samia, kwenye kampeni ya nishati bora ya kupikia, kwa kuanza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wasafibet kitengo chao cha Huduma kwa Wateja kinawaharibia kwa kutoa lugha chafu na kuibia wateja!

    Mimi ni mteja mzuri tu wa betting companies( ambaye sometimes nabet mpaka 40M kwa mwezi). Miezi kadhaa iliyopita nilihamia Wasafibet baada ya kuona wanatoa odds nzuri na mechi nyingi zaidi in play na app yao ni user friendly( kwa hilo nawapongeza na kuwapa maua yao). Kinachonitatiza ni kitengo...
  13. wakolosai

    JamiiForums Tanzania KERO Uzembe wa Idara ya Uhamiaji Tanzania katika Huduma kwa Wateja

    Ndugu wanajamii, Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo mtu anaweza kuipigia kwa msaada pale ambapo kuna shida yoyote. Ni aibu kuona idara kubwa kama hii...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB unapiga simu hawapokei na unaambiwa utajibiwa haraka kwenye mitandao ya kijamii, nako ukienda haujibiwi haraka

    Benki gani unapiga simu hawapokei na unaambiwa eti utajibiwa haraka kwenye mitandao ya kijamii, mitandao yenyewe ukienda haujibiwi instant. Benki gani eti miezi miwili net unafatilia mkopo unaambuliwa kupigwa calendar na miyeyusho. Kuna mtu aliwahi kusema ubora ameondoka nao kimei sasa kweli...
  15. winnerian

    JamiiForums Tanzania CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

    Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja. Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta...
  16. Forfofo

    JamiiForums Tanzania Masula ya huduma kwa wateja Kwa Bongo bado Tabu sana

    Ukiwa mtu ambae umesafiri sana nje ya nchi,nchi tofauti tofauti utaungana namimi katika hili. Bongo mtu kaandika namba ya huduma kwenye bango, hiyo namba ukiipiga imewekwa busy au haiko active kabisa. Km imewekwa busy basi upige zaidi ya mara moja,upige hata mara tatu ndo angalau utajibiwa kwa...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wizara/Shirika/Taasisi gani ya serikali ina huduma bora kwa wateja mpaka unatamani taasisi zote zingekuwa kama wao?

    Wakuu weekend inaendaje? Huduma kwa wateja upande wa serikali imekuwa mwiba mchungu, kila kona malalamiko tu ya watoa huduma taasisi hizo kutoridhisha na matarajio ya wateja. Tukiachana na malalamiko hayo, ni taasisi gani upande wa serikali inafanya vizuri upande wa huduma kwa wateja, yaani...
  18. Girland

    JamiiForums Tanzania Kuna taasisi ya Serikali inaizidi DAWASA kwa huduma mbovu?

    Taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi kwa mazoea, kiufupi hawajali kabisa kuhusu muda wa mteja. Utaambiwa Mtandao unasumbua, au rudi kesho kana kwamba leo wamesimamishwa kazi. Utafikiri hawalipwi mishahara. Kama hamtaki kutuhudumia si mseme, mnakera kweli. Pia soma: Baadhi ya Taasisi za...
  19. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania KERO NBC 0800711 177 Huduma kwa wateja haipokelewi

    Nimepiga nakuambiwa simu inaunganishwa na watoa huduma zaidi ya dk 10. Hii ina maanisha wahudumu wao wamezidiwa au ndo anapokea anapojisikia!!
  20. Mussa rapper

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB ili kupata kadi yangu

    Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi? Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni jumatano ya weeki iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani...
Back
Top Bottom