Leo nimechafukwa kupita maelezo!
Hivi nyie Vodacom Tanzania kwanini mnaniibia? Kwanini mnaniunga na huduma bila ridhaa yangu na kuanza kufyeka salio langu? Cha kusikitisha nilipowapigia watoa huduma wenu (customer care) wanasema eti nilijiunga na huduma inaitwa SOKA LETU, jamani Vodacom...
Kwema ndugu,
Leo kero yangu nawatupia kitengo cha huduma kwa wateja upande wa Tigopesa na m-pesa wamekuwa wazito au kuchukua mda mrefu sana kupokea simu ya mteja pindi anapokoesa kutuma pesa kwa mteja mwingine.
Tunawaomba mfanye marekebisho haraka ili kuweza kuokoa pesa za mteja wenu pind...
Ndugu zangu habari za muda huu, nimatumaini yangu sote tunaitekeleza slogan ya mkuu wa kaya.
Twende moja kwa moja kwenye mada kipindi cha awamu Serikali iliyopita tuliona bwana yule alivyojitaidi kurudisha nidhimu kwa watumishi wa Umma kwa kutekeleza majukumu yao kama inavyotakiwa.
Watumishi...
Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.
Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini.
Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi.
Karibu tukuhudumie
Leo siku nzima , najaribu kuwapigia simu huduma kwa wateja simu inaita dk 30 bila kujibiwa. Hao, mliowaajiri hiko kitengo cha huduma kwa wateja kazi yao ni ipi.
Badilikeni, miamala imekwama na watu wanawapigia kupata suluhisho, simu hampokei .Hamjui mnakwamisha shughuli za watu.
Ndio maana...
Waziri wa Tehama Dkt. Ndugulile amesema kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano ya kampuni ya simu na mteja wake.
Hii ni katika lengo la kuondoa utapeli na wizi na kwa maana hiyo namby za kawaida haziruhusiwi kutumika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.