hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Selwa

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania ni hovyo! Suala la Chionda linatia aibu!

    Mambo 10 kufikirika kuhusu interview ya chionda ambayo inatrend 1. Picha inaanza Crown FM wameficha kwamba jamaa anaitwa Abas Chionda, yani ni muislam. Ameulizwa jina anasema Chionda tu, jina moja kwani ye mnyama? Wamefanya maksudi sababu wakristo wangekuja juuu kwa namna anavoongea unaweza...
  2. Crimea

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi kwenda mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya ni za hovyo sana

    Mtu unatoka Dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa? Mbona wenzetu njia ya Kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
  3. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania CPA Makala kutangazwa kuwa mtu wa Hovyo Tanzania

    Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  5. Mkunazi Njiwa

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

    Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha. Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215. Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60. Leo vibaraka koko wameingia...
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watanzania wanaoongoza kuposti maudhui ya hovyo mtandaoni

    Smart phone revolution imekuja na changamoto zake , hasa kwa wale wasioweza kujidhibiti na kujikuta wakipost ama maudhui yasiyo na maadili au maudhui yasiyo natija kwa jamii. Orodha hii itakuwa refu kulingana na utafiti wangu siku za usoni. 1. Malkia wa nyuki 2. Cynacute 3. Hello tanzania 4...
  7. PSL god

    JamiiForums Tanzania Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Usitoe misaada hovyo hovyo

    Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee...
  9. Trainee

    JamiiForums Tanzania Zuku ni kampuni ya hovyo kuwahi kutokea, nimewachukia mno hawa jamaa washenzi sana!

    Usishangae wala usitahamaki maana kwa ujinga walio nao hapo sijawatukana kabisa. Nimewaita washenzi hapo ili kupunguza ukali wa maneno tu lakini nilitamani nitumie maneno zaidi ya hilo kabisa Hawa watu king'amuzi kimezingua nikawapigia kuwauliza nijue tatizo ni nini. Sasa kwa maswali...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Azindua AZAM SEA TAXI, Awataka Wavuvi Kutotupa Nyavu Hovyo

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka wananchi wanaojishughulisha na uvuvi maeneo ya Kigamboni kutunza mazingira na kutotupa nyavu katika njia inayopita vivuko ili viweze kutoa huduma ya kuvusha wananchi kwa ufanisi na ubora. Ulega ametoa agizo hilo leo Januari 23,2025 jijini Dar es Salaam...
  13. U

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January kutopokea watoto ambao hawajalipa ada yote. Hapa ndio wametukera wazazi, hivi kweli mzazi unalipa...
  14. Karemboo

    JamiiForums Tanzania Suala la Referees in CV mimi ni kuiga utamaduni wa nje ambao kwetu ni wa hovyo

    Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli atakurecommend vizuri huyu sehem nyingine tena ajue unaenda kupata maslah zaidi ya hapo?) lakini pia...
  15. albab

    JamiiForums Tanzania Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Kwa mara ya kwanza nafika nilifurahia mazingira mazuri, ukijani mwingi na Hali ya hewa tulivu kabisaaa ikiambatana na mvua hasa nyakati za asubuhi. Baadhi ya Maeneo yana muonekano mzuri wa ziwa hivyo kufanya Mkoa huu kuwa kuwa na view nzuri hasa Kwa wageni. Kwa kuwa ni mzee wa Fursa Cha kwanza...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

    Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Athari za kutokuwa na kaba ya ulimi, kuongea kwa Lissu bila kuangalia ni kwa kiasi gani unakipasua chama chako CHADEMA/unawagawa wanachama na wapenzi

    MAONI YANGU Tuna uzoefu mkubwa wa watu kuitikia michango inayoitishwa na Chadema katika kushghulikia wanachama/wapenzi wanaopata madhira kwa sababu ya kuwa upinzani. Tumeona ushirikiano mkubwa kutoka watu kufikisha kiasi fedha kinachihitajika kumlipia fine wanaokuwa wamebambikiwa kesi na...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapadre wakimya, wastaarabu, wanyenyekevu na wenye subira? Kwanini huwezi kuta wanaropoka au kubishana hovyo vijiweni au vichochoroni?

    Wadau hamjamboni nyote? Sababu ninini? Elimu? Makuzi? Desturi? Mazoea? Kwanini wengineo japo baadhi wapo tofauti? Tunabishana nao mitaa, tunagombana nao barabarani? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Kanisa moja takatifu la Mitume
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia wanaopiga magoti kusali pamoja wanauwezekano mdogo sana wa kugombana hovyo

    Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho. Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana hovyo. Kuna majini maalumu kwa ajili ya kuchafua ndoa (demons of strife). Unapoendelea kuchochea onbwe...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ukiacha ya juzi haya aliyoyakoroga kwa kuropoka hovyo, Lisu is smart! The smartest Tanzanian Ever

    Huo ndio ukweli, ukweli usiopingika. Tatizo ni kuwa Mgema akisifiwa, Tembo hulitia maji!
Back
Top Bottom