hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanzania Mnapowalilia wazungu Mnataka wao ndo waje Waandamane kwa shida zenu na Viongozi wenu wa Hovyo

    GT Watanzania tu watu wa ajabu sana utasikia ohh wazungu wamesema hivi mara vile unadhani wazungu wanaumizwa na haya yanayoendelea kwenu?. Hawa jamaa ni opportunities wataandika tu matamko kutimiza wajibu ila ukweli ni kwamba kama ninyi watanganyika hamtakuwa tayari kuamua hatma ya nchi yenu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waajiri wetu wametuambia tufungue account nyingine waingize mshahara, CRDB hovyo

    Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ila TFF ni watu wa hovyo sana

    Tangu lini Fadlu akawa nahodha wa Simba. 😂😂
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Naona sasa Zitto taa ya kijani imewaka. Comedian anapayula hovyo. Zitto anamwaga madini.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  6. P

    JamiiForums Tanzania VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

    HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kumpata Bingwa Kwa kuangalia Head to Head endapo timu ziki tie poinits, ni wa ovyo

    Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini Binafsi naona ni utaratibu wa ovyo maana kwenye ligi hazishindani timu 2, wangechukua kigezo cha Goals...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Emaus Mwamakula unakosea kutoka na andiko lako la hivyo Facebook,kwamba hao mashekhe ndiyo wamebeba agenda ya waislamu wote? Andiko la hovyo

    JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA? Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize? Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?] wamekusanyika muda katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es katika 'Kongamano la Amani Kuelekea...
  9. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2055 kutakua na wazee wa hovyo haijawahi kutokea

    Ndugu salaam.. Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba ushauri ili hali ujana wao tunawaona wakitembea uchi hasa hasa mabinti huku vijana wa kiume wakijiita...
  10. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa RNB tusihangaike kutoa maua hovyo Ben paul ndiye king

    I salute you kinsmen. Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol. Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana.. Ila benpol ni kichwa kikubwa sana akiamua kuimba anaweza sana tu Tukumbuke alikuwaga kwenye label ya wagumu tu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Azam hizi movie za jioni za Fahari na sijui Taswira za hovyo kabisa; movie ni Vacation na baba lao Kombolela

    Ina maana Azama mmekosa kabisa movie za maana zinazosisimua, zinazoburudisha na kuelimisha? Fahari haieleweki kichwa na mkia viko wapi, hakuna connection and continuity naona tu wahusika wanajazana kubadilishana huwezi elewa ht muelekeo na connectio from the past. Mtunzi wa hii kitu ni zero...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie Polisi anayetumia akiki kuliko maguvu. Sio unakuta watu wanakunywa Kangala alafu unawakamata hovyo.

    Inspekta Makubi bigup👇
  13. C

    JamiiForums Tanzania Yamkini Wabunge wa hovyo hovyo watapitishwa ili waingie bungeni kuipeleka ajenda ya Samia for life

    Huenda Ndicho kinacho sukwa kwa sasa. Mtazinduka mmesha jikojolea tayari.
  14. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa Zimbabwe Aingia Maombi ya Siku 40 ili Kumpatia Mpenzi Wake Lamborghini

    #UNAAMBIWA Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu ampe uwezo wa kununua gari la kifahari aina ya Lamborghini ili amzawadie Mpenzi wake kwakuwa hilo ndilo...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
  16. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

    Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo. Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo. Mwanzoni aliniambia yuko tayari...
  17. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Gwajima kwenda kuchukua fomu ya ubunge ni moja ya mambo ya hovyo sana

    Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  19. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuelekea uzee wa hovyo

    "Kijana, ukiyakimbia maisha kama mkimbizi, jiandae kupokewa na maafa. Maana mwisho wa safari unaweza kuwa mzee wa hovyo asiye na hadithi ya maana." — Alloyce, P.R.
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Picha: Mimi ni kijana wa hovyo..

    Wale vijana ambao hawana mchango katika hili taifa basi Mimi ni namba moja. Hapa nishapata sehemu ya uzinzii. Kama wewe hujawai kuzini basi naomba unitukane. Kama umewai kufanya huu upumbafu basi ukinitikana hakikisha umejitukana....! Ujana maji ya moyo
Back
Top Bottom