hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jane Msowoya

    JamiiForums Tanzania Namna tunavyojitengenezea wazee wa ovyo

    Kijana unakimbizana na bodaboda/bajaji kuanzia asubuhi mpaka usiku, mwisho wa siku unabaki na 20k–30k. Ndani ya hiyo 30k una mwanamke/mke unaishi nae, deni linakusubiri, chombo ni cha mkopo, home Kijijini simu hazishi bado kuna matumizi ya hapa na pale. Ukishika pesa kidogo inaisha hapo hapo...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Vita ina mahesabu siyo kupiga ovyo

    Habari wandugu.... Nafikiri wa kuona wameona na wakujifunza wamejifunza kuhusu vita ,vita ni nini tuanzie hapo kwanza. Vita ni matokeo ya pande mbili tofauti kujenga uadui na chuki ndani ya mioyo ya wahusika. Chanzo huenda pande moja kuanzisha mashambulizi ya ghafla vita huwa haipangwi kwamba...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kina dada acheni kuwasumbua waganga kuwawezesha kuolewa wakati mlikuwa mnajibu hovyo enzi mkiwa kwenye ubora wenu

    Ninaandika kwa hasira kali sana. Unakuta umeenda zako kwa mganga unakutana na foleni kubwa ya kina dada wameenda kupata dawa za kupata waume wakati ndo haohao enzi wakiwa kwenye ubora walikuwa wakijibu kwa karaha waoaji waliojitokeza. Binafsi ni mhanga wa majibu na matendo ya kishenzi enzi...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

    Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatumia mifano hovyo inawadanganya wafuasi wake kuwa Samia atahukumiwa ICC ,hii mifano ya kuondoa ujinga huo

    Hawa ndio viongozi wa Afrika waliowahi kushtakiwa na International Criminal court bila la maana kutokea au kutokamatwa kabisa 🇰🇪 Kenya (Kesi za 2007–2008 Post-Election Violence) 1️⃣ William Ruto Wakati huo alikuwa Waziri; sasa ni Rais wa Kenya. Alishtakiwa ICC mwaka 2011. Kesi ilifutwa 2016 kwa...
  8. haszu

    JamiiForums Tanzania Inakuaje madada mzuri anakuja kuishi maisha ya ajabu na ya hovyo mbali na kua na soko?

    Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa. Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wa ovyo kama wakosoa imani za wengine hapa JF

    Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA

    Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
  11. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha sasampa ovyo kabisa sikujua Lil Nas X yuko vile

    Habarini wanajamvi. Kizazi hiki cha sasampa hovyo kabiSA, Sikujua Lili Nas x yuko vile.Nimefuatilia dogo ana laana yule.LAANA ZIENDE KWAKE.Alitembeaga uchi uko marekani alikamatwa aliwekwa sober house,sijajua kesi yake iliishaje.
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Azam Tv Max ndio App ya hovyo kabisa kuwahi kutengenezwa

    Imagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao. Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa. Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote? Mtu uko mbali na nyumbani unasema ngoja nicheki boli kupitia Azam max, unakutana na changamoto lukuki. Mara App igome...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hilda Newton: Afande Hamza, aliyeua mamia ya waandamanaji 29/10 - 3/11/ ni kichaa. Anaropoka siri zao ovyo. Amefungiwa chumba maalumu Police Oysterbay

    Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton =============================================== TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM kimekuwa chama cha hovyo sana

    Hili lichama limekuwa kituko sana. Kuna mambo linafanya hadi unajiuliza hivi hawa jamaa hawana hata aibu? Mnakumbuka yale maandamano yaliyoandaliwa na Diaspora wa Marekani? Eti nayo maccm yakaandaa maandamo ya kumpongeza Samuya kucounter attack. Yakakodisha wameksico (Mexicans) waandamane...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo

    Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo. Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

    Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatari ya kushitakiwa ICC: Waliogiza raia wauawe ovyo ovyo, watarudia kosa hilo Desemba 9 ?

    Hili ndio swali ambalo binafsi najiuliza hasa ikitokea raia wanaandama kwa wingi na kwa amani huku media za kimataifa zikiwa zinafuatilia kwa karibu (zinakusanya ushahidi) kwa njia mbalimbali ikiwemo kutumia picha za satellite . Mtazamo wangu: Kwasababu limeshafanyika kosa na kuna juhudi za...
  18. Twilumba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna magari yanakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya bodaboda kinyume cha sheria

    Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria. Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
  20. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda ni jitu la hovyo, watanzania mkataeni

    Ameshiba mihogo. Leo anasema Magufuli ni kaka yake. Wewe makonda ni wakumuita magufuli kaka Yako kweli? Unakumbuka alivyokusitahi kama mwanae. Unakumbuka alivyokuunganisha wewe na Ruge kule chongoleani Tanga kwa kuwaita wewe na Ruge ni wanaye. Leo unamuita kaka Yako eti. Tafadhali usimtumie...
Back
Top Bottom