Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

6 Pack

JF-Expert Member
Apr 17, 2022
2,853
6,057
Niaje waungwana

Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo.

Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye ukipa, halaf beki anapelekwa kwenye ushambuliaji, mnafikiri team hiyo itaweza kupata ushaindi kweli?!

Binadam tumeumbwa kila mtu na kipaji chake. Ndomaana wenzetu wazungu wakikuona wewe akili yako inaelekea kwenye elimu basi wazazi watakusomesha kwa juhudi na bidii kwa sababu wanajua kwamba huko ndiko Mungu alipoamua akili yako ielekee, hivyo wakiku force kwnye michezo au biashara itakuwa ni kupoteza pesa na muda bure, kwani result yake baadae itakuwa ni tofauti na kipaji chako.

Hiivyo watakuendeleza kwa kile wanachoona kinaendana na akili au kipaji chako. Hakunaga mambo ya kulazimishana au kujaribishana katika sehemu ambayo mtu hafiti wala hana uzoefu nayo.

Mfano UK waziri mkuu unakuta anamteua waziri wa michezo ambae anaijua vizuri michezo, ni mfuatiliaji wa michezo na pengine aliwahi kabisa kuwa mchezaji. Hivyo akipewa nafasi ya wizara ya michezo ana uwezo wa kufanya mambo makubwa katika michezo kwa sababu ya uzoefu wake na kipaji chake katika michezo.

Hivyo hivyo kwa Marekani, Canada, Ujerumani nk mtu anateuliwa katika sehemu ambayo ana uzoefu nayo ili kuondoa kuzorota kwa shughuli za wizara na serikali kwa ujumla, hivyo ni vigumu sana kukuta ujinga ujinga wizarani au mtu kuhamishwa hamishwa wizara nk.

Sasa sisi waafrika tumekuwa tukiwapa watu post ambazo hawana ujuzi wala uzoefu nazo. Tukiamini kwamba kwa vile mtu anaitwa Doctor au Professor basi popote utapomuweka atafiti, matokeo yake mtu anakaa wizarani miaka miwili, mitatu Hadi mitano bila kufanya lolote la maana, maana mtu amewekwa katika sehemu asiyoweza kuimudu na kwa utamaduni wetu mtu hauwezi kukataa post unayopewa na raisi, vile vile mtu hushindwa kumwambia raisi ukweli kwamba post aliyopewa hana uzoefu nayo au hatoweza kuimudu. Yeye atakaa kimya mpaka siku aliemteua atapoona hakuna anachofanya na kumtoa au kumhamisha. Najua kwamba kuna wengine wana vipaji vya ku handle sehemu yoyote wanayowekwa, lakini hao ni wachache sana alafu kibaya huwa hawatulizwi pale wapopaweza.

Mfano mpaka leo watanzania wengi hatuelewi sababu ya raisi Samia kumtoa mchapa kazi Slaa kutoka wizara ya ardhi na kwenda kumtupa kwenye usemaji, au Kabudi kutoka sheria kutupwa katika wizara isiyoendana na taaluma yake. Mwisho wa siku itaonekana kuwa alipopelekwa hakuna anachokifanya, kumbe tatizo na kupelekwa katika post asiyoifahamu.

Mimi ningekuwa raisi Samia basi mabadiliko haya yangemrudisha Slaa ardhi maana tayari kelele za watu kuzulumiwa nyumba, viwanja nk zishaanza kurudi tena upya, huku waziri husika mhe, Ndejembi akiwa hana mbinu yoyote ya kuwadhibiti wezi hao wa ardhi. Clinic za kushughulikia kesi za ardhi ambazo zilianzishwa na waziri Slaa zimekufa kibudu zote, huku wezi wa ardhi wakitembea vifua mbele bila hofu yoyote.

Pia Kabudi angebaki wizara ya sheria na katiba.

Masauni tupa nje na Ndejembi angepewa mambo ya ndani.

Lakini kwa aina ya uteuzi ulivyofanyika ni kama vile washauri wa raisi, raisi mwenyewe pamoja na KMK wanafanya betting katika mambo ya msingi alaf baada ya mwezi mmoja tu au miwili wakiona mambo hayaendi watengue na kuteua tena. Nchi yetu Sasa nafasi nyeti zimekuwa ni za kufanyiwa majaribio... It's very very SAD!

PIA SOMA
- Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
 
Niaje waungwana

Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo.

Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye ukipa, halaf beki anapelekwa kwenye ushambuliaji, mnafikiri team hiyo itaweza kupata ushaindi kweli?!

Binadam tumeumbwa kila mtu na kipaji chake. Ndomaana wenzetu wazungu wakikuona wewe akili yako inaelekea kwenye elimu basi wazazi watakusomesha kwa juhudi na bidii kwa sababu wanajua kwamba huko ndiko Mungu alipoamua akili yako ielekee, hivyo wakiku force kwnye michezo au biashara itakuwa ni kupoteza pesa na muda bure, kwani result yake baadae itakuwa ni tofauti na kipaji chako.

Hiivyo watakuendeleza kwa kile wanachoona kinaendana na akili au kipaji chako. Hakunaga mambo ya kulazimishana au kujaribishana katika sehemu ambayo mtu hafiti wala hana uzoefu nayo.

Mfano UK waziri mkuu unakuta anamteua waziri wa michezo ambae anaijua vizuri michezo, ni mfuatiliaji wa michezo na pengine aliwahi kabisa kuwa mchezaji. Hivyo akipewa nafasi ya wizara ya michezo ana uwezo wa kufanya mambo makubwa katika michezo kwa sababu ya uzoefu wake na kipaji chake katika michezo.

Hivyo hivyo kwa Marekani, Canada, Ujerumani nk mtu anateuliwa katika sehemu ambayo ana uzoefu nayo ili kuondoa kuzorota kwa shughuli za wizara na serikali kwa ujumla, hivyo ni vigumu sana kukuta ujinga ujinga wizarani au mtu kuhamishwa hamishwa wizara nk.

Sasa sisi waafrika tumekuwa tukiwapa watu post ambazo hawana ujuzi wala uzoefu nazo. Tukiamini kwamba kwa vile mtu anaitwa Doctor au Professor basi popote utapomuweka atafiti, matokeo yake mtu anakaa wizarani miaka miwili, mitatu Hadi mitano bila kufanya lolote la maana, maana mtu amewekwa katika sehemu asiyoweza kuimudu na kwa utamaduni wetu mtu hauwezi kukataa post unayopewa na raisi, vile vile mtu hushindwa kumwambia raisi ukweli kwamba post aliyopewa hana uzoefu nayo au hatoweza kuimudu. Yeye atakaa kimya mpaka siku aliemteua atapoona hakuna anachofanya na kumtoa au kumhamisha. Najua kwamba kuna wengine wana vipaji vya ku handle sehemu yoyote wanayowekwa, lakini hao ni wachache sana alafu kibaya huwa hawatulizwi pale wapopaweza.

Mfano mpaka leo watanzania wengi hatuelewi sababu ya raisi Samia kumtoa mchapa kazi Silaa kutoka wizara ya arhi na kwenda kumtupa kwenye usemaji, au Kabudi kutoka sheria kutupwa katika wizara isiyoendana na taaluma yake. Mwisho wa siku itaonekana kuwa alipopelekwa hakuna anachokifanya, kumbe tatizo na kupelekwa katika post asiyoifahamu.

Mimi ningekuwa raisi Samia basi mabadiliko haya yangemrudisha Silaa ardhi maana tayari kelele za watu kuzulumiwa nyumba, viwanja nk zishaanza kurudi tena upya, huku waziri husika mhe, Ndejembi akiwa hana mbinu yoyote ya kuwadhibiti wezi hao wa ardhi. Clinic za kushughulikia kesi za ardhi ambazo zilianzishwa na waziri Silaa zimekufa kibudu huku wezi wa ardhi wakitembea vifua wazi bila hofu yoyote.

Pia Kabudi angebaki wizara ya sheria na katiba.

Masauni tupa nje na Ndejembi angepewa mambo ya ndani.

Lakini kwa aina ya uteuzi ulivyofanyika ni kama vile washauri wa raisi, raisi mwenyewe pamoja na KMK wanafanya betting katika mambo ya msingi alaf baada ya mwezi mmoja tu au miwili wakiona mambo hayaendi watengue na kuteua tena. Nchi yetu Sasa nafasi nyeti zimekuwa ni za kufanyiwa majaribio... It's very very SAD!!
Mmeshaambiwa kuwa amerogwa
 
Niaje waungwana

Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo.

Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye ukipa, halaf beki anapelekwa kwenye ushambuliaji, mnafikiri team hiyo itaweza kupata ushaindi kweli?!

Binadam tumeumbwa kila mtu na kipaji chake. Ndomaana wenzetu wazungu wakikuona wewe akili yako inaelekea kwenye elimu basi wazazi watakusomesha kwa juhudi na bidii kwa sababu wanajua kwamba huko ndiko Mungu alipoamua akili yako ielekee, hivyo wakiku force kwnye michezo au biashara itakuwa ni kupoteza pesa na muda bure, kwani result yake baadae itakuwa ni tofauti na kipaji chako.

Hiivyo watakuendeleza kwa kile wanachoona kinaendana na akili au kipaji chako. Hakunaga mambo ya kulazimishana au kujaribishana katika sehemu ambayo mtu hafiti wala hana uzoefu nayo.

Mfano UK waziri mkuu unakuta anamteua waziri wa michezo ambae anaijua vizuri michezo, ni mfuatiliaji wa michezo na pengine aliwahi kabisa kuwa mchezaji. Hivyo akipewa nafasi ya wizara ya michezo ana uwezo wa kufanya mambo makubwa katika michezo kwa sababu ya uzoefu wake na kipaji chake katika michezo.

Hivyo hivyo kwa Marekani, Canada, Ujerumani nk mtu anateuliwa katika sehemu ambayo ana uzoefu nayo ili kuondoa kuzorota kwa shughuli za wizara na serikali kwa ujumla, hivyo ni vigumu sana kukuta ujinga ujinga wizarani au mtu kuhamishwa hamishwa wizara nk.

Sasa sisi waafrika tumekuwa tukiwapa watu post ambazo hawana ujuzi wala uzoefu nazo. Tukiamini kwamba kwa vile mtu anaitwa Doctor au Professor basi popote utapomuweka atafiti, matokeo yake mtu anakaa wizarani miaka miwili, mitatu Hadi mitano bila kufanya lolote la maana, maana mtu amewekwa katika sehemu asiyoweza kuimudu na kwa utamaduni wetu mtu hauwezi kukataa post unayopewa na raisi, vile vile mtu hushindwa kumwambia raisi ukweli kwamba post aliyopewa hana uzoefu nayo au hatoweza kuimudu. Yeye atakaa kimya mpaka siku aliemteua atapoona hakuna anachofanya na kumtoa au kumhamisha. Najua kwamba kuna wengine wana vipaji vya ku handle sehemu yoyote wanayowekwa, lakini hao ni wachache sana alafu kibaya huwa hawatulizwi pale wapopaweza.

Mfano mpaka leo watanzania wengi hatuelewi sababu ya raisi Samia kumtoa mchapa kazi Silaa kutoka wizara ya ardhi na kwenda kumtupa kwenye usemaji, au Kabudi kutoka sheria kutupwa katika wizara isiyoendana na taaluma yake. Mwisho wa siku itaonekana kuwa alipopelekwa hakuna anachokifanya, kumbe tatizo na kupelekwa katika post asiyoifahamu.

Inaonesha jinsi asivyofaa.., mambo mengi ni hovyo.
 
Clinic za kushughulikia kesi za ardhi ambazo zilianzishwa na waziri Silaa zimekufa kibudu huku wezi wa ardhi wakitembea vifua wazi bila hofu yoyote.
Hizi clinic ndizo zimemuondoa Jerry Slaa kwenye wizara ya ardhi. Usichokijua ni kwamba serikali hii imewekwa mfukoni na mafisadi ambayo yameteka kila nyanja na kila maamuzi, hata teuzi zinafanywa na mafisadi haya.

Kwa kifupi ni kwamba serikali hii imepigwa kopi ,na kopi ya serikali hii inaendeshwa na mafisadi ambayo yamemtanguliza Abdul mbele. Unamfahamu Abdul??

Na haya mafisadi ndiyo yanaongoza kwa uporaji wa viwanja. Yalipoona huyu Jerry Slaa anataka kuharibu ulaji wao kwa kuanzisha clinic yakaamua abadilishiwe wizara.
 
Niaje waungwana

Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo.

Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye ukipa, halaf beki anapelekwa kwenye ushambuliaji, mnafikiri team hiyo itaweza kupata ushaindi kweli?!

Binadam tumeumbwa kila mtu na kipaji chake. Ndomaana wenzetu wazungu wakikuona wewe akili yako inaelekea kwenye elimu basi wazazi watakusomesha kwa juhudi na bidii kwa sababu wanajua kwamba huko ndiko Mungu alipoamua akili yako ielekee, hivyo wakiku force kwnye michezo au biashara itakuwa ni kupoteza pesa na muda bure, kwani result yake baadae itakuwa ni tofauti na kipaji chako.

Hiivyo watakuendeleza kwa kile wanachoona kinaendana na akili au kipaji chako. Hakunaga mambo ya kulazimishana au kujaribishana katika sehemu ambayo mtu hafiti wala hana uzoefu nayo.

Mfano UK waziri mkuu unakuta anamteua waziri wa michezo ambae anaijua vizuri michezo, ni mfuatiliaji wa michezo na pengine aliwahi kabisa kuwa mchezaji. Hivyo akipewa nafasi ya wizara ya michezo ana uwezo wa kufanya mambo makubwa katika michezo kwa sababu ya uzoefu wake na kipaji chake katika michezo.

Hivyo hivyo kwa Marekani, Canada, Ujerumani nk mtu anateuliwa katika sehemu ambayo ana uzoefu nayo ili kuondoa kuzorota kwa shughuli za wizara na serikali kwa ujumla, hivyo ni vigumu sana kukuta ujinga ujinga wizarani au mtu kuhamishwa hamishwa wizara nk.

Sasa sisi waafrika tumekuwa tukiwapa watu post ambazo hawana ujuzi wala uzoefu nazo. Tukiamini kwamba kwa vile mtu anaitwa Doctor au Professor basi popote utapomuweka atafiti, matokeo yake mtu anakaa wizarani miaka miwili, mitatu Hadi mitano bila kufanya lolote la maana, maana mtu amewekwa katika sehemu asiyoweza kuimudu na kwa utamaduni wetu mtu hauwezi kukataa post unayopewa na raisi, vile vile mtu hushindwa kumwambia raisi ukweli kwamba post aliyopewa hana uzoefu nayo au hatoweza kuimudu. Yeye atakaa kimya mpaka siku aliemteua atapoona hakuna anachofanya na kumtoa au kumhamisha. Najua kwamba kuna wengine wana vipaji vya ku handle sehemu yoyote wanayowekwa, lakini hao ni wachache sana alafu kibaya huwa hawatulizwi pale wapopaweza.

Mfano mpaka leo watanzania wengi hatuelewi sababu ya raisi Samia kumtoa mchapa kazi Silaa kutoka wizara ya ardhi na kwenda kumtupa kwenye usemaji, au Kabudi kutoka sheria kutupwa katika wizara isiyoendana na taaluma yake. Mwisho wa siku itaonekana kuwa alipopelekwa hakuna anachokifanya, kumbe tatizo na kupelekwa katika post asiyoifahamu.

Mimi ningekuwa raisi Samia basi mabadiliko haya yangemrudisha Silaa ardhi maana tayari kelele za watu kuzulumiwa nyumba, viwanja nk zishaanza kurudi tena upya, huku waziri husika mhe, Ndejembi akiwa hana mbinu yoyote ya kuwadhibiti wezi hao wa ardhi. Clinic za kushughulikia kesi za ardhi ambazo zilianzishwa na waziri Silaa zimekufa kibudu huku wezi wa ardhi wakitembea vifua wazi bila hofu yoyote.

Pia Kabudi angebaki wizara ya sheria na katiba.

Masauni tupa nje na Ndejembi angepewa mambo ya ndani.

Lakini kwa aina ya uteuzi ulivyofanyika ni kama vile washauri wa raisi, raisi mwenyewe pamoja na KMK wanafanya betting katika mambo ya msingi alaf baada ya mwezi mmoja tu au miwili wakiona mambo hayaendi watengue na kuteua tena. Nchi yetu Sasa nafasi nyeti zimekuwa ni za kufanyiwa majaribio... It's very very SAD!!
Kabundi si daktari bali doktari. Si profesa bali profedheha kama aliyemteua apendaye shahada za dezo na kujiita na kuitwa daktari wakati hana hiyo shahada moja ukiachia mbali vijvyeti vya kuungaunga.
 
Makonda kasema Rais ana nini sijui
 
Hizi clinic ndizo zimemuondoa Jerry Slaa kwenye wizara ya ardhi. Usichokijua ni kwamba serikali hii imewekwa mfukoni na mafisadi ambayo yameteka kila nyanja na kila maamuzi, hata teuzi zinafanywa na mafisadi haya.

Kwa kifupi ni kwamba serikali hii imepigwa kopi ,na kopi ya serikali hii inaendeshwa na mafisadi ambayo yamemtanguliza Abdul mbele. Unamfahamu Abdul??

Na haya mafisadi ndiyo yanaongoza kwa uporaji wa viwanja. Yalipoona huyu Jerry Slaa anataka kuharibu ulaji wao kwa kuanzisha clinic yakaqmua abadiliabwe.
Nimekuelewa mkuu. Ubarikiwe sana kwa maelezo yako mazuri.
 
Back
Top Bottom