hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hili tamko la Kamanda wa Polisi ni la ovyo

    Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania? SIKU ZOTE NITALIA NA...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Kama taifa tumepitia katika nyakati za ovyo Sana

  4. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Tundu Lissu aliniwekea pingamizi nisigombee urais 2020 kwa sababu za hovyo kabisa

  5. JamiiForums Tanzania Hawa waandishi wa Clouds ni ovyo kabisa

    Hivi ni ujinga [kwa maana halisi ya neno ‘ujinga’]? Uoga? Kuwa na ajenda ya siri? Kuwekewa masharti ya mahojiano? Kutokujiandaa kikamilifu? Au ni nini hasa? Nimeyaangalia mazungumzo ya Tundu Lissu na Clouds Media 360. Moja ya maswali ambayo nilitegemea wangemuuliza, hawakumuuliza. Ni...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kufeli ni matokeo ya malezi ya ovyo

    Ukipita mitaa mingi ya mijini utakuta watoto wengi wenye uniform wakizagaa zagaa mitaani muda wa vipindi vya masomo hata saa tatu au saa nne wakiwa kwenye vituo vya daladala, sasa kama mimi ni muongo kama upo Dar utalithibitisha hili Nimeandika Uzi huu muda muafaka ukiwa maeneo kama Mbagala au...
  7. JamiiForums Tanzania Wale mliosema Simba SC ya Olivieira ilicheza Mechi ovyo, je, Simba SC ya leo ya Mgunda imecheza Mpira mzuri?

    Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda? Mkiambiwa hamjui...
  8. JamiiForums Tanzania Jezi za Taifa stars kutolewa hovyo kama njugu bila uwoga wowote tuhesabie ni upigaji?

    Moja kwa moja, Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars. Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
  9. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watu kulala hovyo kwenye madaldala ni dalili ya njaa kali!

    Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi na mara kadhaa udenda pia. Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya Dar...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha umeme ulielekezwa Dar kwa wasema ovyo

    Ninalazimika kuwasilisha hili kama Uzi. Pongezi kwenu wazaliwa wa miaka ya 90 wa pande za za huko dar. Kwa hakika wiki 2 hizi shutuma dhidi yenu sasa nimezielewa. Inawezekana vipi pande za mikoani huku kwamba kumbe umeme unaweza kurejeshwa baada ya kutokuwepo masaa 36 mfululizo bila umeme...
  12. JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwataja watu wa ovyo sana Mwaka 2022. Wajirekebishe

    1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja. 2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka. Amos Makalla aliazisha...
  14. JamiiForums Tanzania Kijana wa hovyo Ibu aliyemaliza wadada wa mtaa wote kisa alikuwa anavaa shanga na kukatika viuno kwenye tendo

    Ni miaka ya 2000/2001 huko wilayani kwetu jamaa mmoja aliyeitwa Ibu aliibua taharuki mtaani baada ya kubuni style ya kuwavutia wadada. Alikuwa akivaa shanga na kukatika viuno vya kiwango cha SGR. Sasa kila dada akipitiwa anaweza kusimulia kuwa Ibu ni moto wa kuotea mbali. Basi wakawa wao ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Nifundisheni misemo mipya ya kukwepea vizinga(kuombwa Hela Hovyo😅😅)

    Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela. Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee😅😅😂😂😂 Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana😎
  16. JamiiForums Tanzania Uwepo wa vijana wa ovyo mitaani ni matokeo ya wazazi wa ovyo

    Kwa ufupi sana Wazazi wa sasa tujitathimini! Ukisasa umekuwa mwingi, tumejisahau! Jukumu la malezi bora kwa watoto wetu tumeweka kando. Vijana wa kiume wanafanya mambo ya ajabuajabu sana, nafikiri unaelewa nachokizungumza: mabinti wadogo wanafanya ya kustaajabisha! Tusiwalaumu wala...
  17. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina vijana wa hovyo sana

    Nimeshindwa hata kumalizia using mjonee tu wenyewe
  18. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa yale niliyosema kuhusu kijana wa hovyo Majaliwa aliyeidanganya nchi na wasomi wake

    INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭 WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA. Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
  19. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

    Salaams Wana bodi, Hawa DSTV nimejiunga kifurushi toka jana mpaka kunakucha nimeshaongea na customer care wanne tofauti tofauti lkn hakuna aliyenitatulia tatizo langu. Kibaya zaidi kilichonikera ni kuniblock namba zangu nisiweze kuwapata tena. Kesho nanunua king'amuzi cha mtandao mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…