Aisee nimeamini wanawake ni watu wa hovyo

lusanasaimon

Senior Member
Jan 19, 2023
111
264
Habari zenu

Niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk,

Huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho kimenifanya nije ku share nanyi, iko hivi huyu jamaa (rafiki) yangu alikua na mpenzi wake wa muda mrefu sio chini ya miaka 3 wakiwa kwenye mahusiano, jamaa anadai huyo demu wake walijuana 2020 na ni mwanamke aliekua ametulia na kuyajua maisha. Kwasababu anadai wamepitia vipindi tofauti tofauti (milima na mabonde) jamaa ana jishugulisha na biashara ya duka haya maduka ya mangi, anadai kipindi anakutana na huyo dem alikua amechangia biashara (duka) na jamaa fulani.

Badae biashara iliyumba ikabidi wauze kwa hasara wakagawa na yeye kuamua kujitafuta, wakati wote huo yule demu wake hakumtupa alikua anamtia moyo sana na anadai kama isingekua yeye huenda asingerudi barabarani kwasababu kuna vitu vingi amemsaidia sana mpaka akamshukuru mungu kumletea wife matirio, ikabidi ampe na hela ya mtaji ili na yeye achakalike wasaidiane kuendesha maisha maana alikua na akili ya biashara,


Biashara alioichagua binti (demu wa jamaa) niya kuuza mitumba alikua akilangua ma baloo kabisa.

Sasa changamoto ili anza baada ya kumwambia jamaa ya kwamba anataka kuhama kwao ili ajitegemee jamaa akauliza kwanini, demu akadai eti kwao kuna dada zake kadhaa wamezalia pale na huwa wana zinguana mara kwa mara bla bla zikawa nyingi. Jamaa ikabidi amwambie asubiri kuna mambo anaweka sawa ili afike kwao na taratibu za kuoana zifuate demu akakubali ila kishingo upande, basi maisha yakaendelea ikafika kipindi wakawa hawaonani zaidi ya kuongea kwenye simu kutokana na ubize wa maisha


Sasa sikumoja akashangaa demu ana mwambia ameamua kupanga baada yakuona maisha ya kwao yame mshinda kwani ugomvi hauishi na dada zake nk

Jamaa akasema kwasababu ameamua mwenyewe basi haina jinsi, maisha yanaendelea jamaa ikawa kila akimaliza kazi jioni anapita kwa binti wanafanya yao anarudi kulala dukani kama kawaida. Sasa akawa anashangaa kila akienda anakuta mazingira yamebadirika mara kanunua tv, radio ,sofa, ktanda na godoro. Mmmh jamaa akawa anashangaa inawezekanaje kila akiuliza dem ana mjibu anacheza vikoba eti kila ikifika zamu yake ndio hununua hivo vitu ila akaanza kuhisi huyu dada atakua ana mwanaume mwengine.

Basi bwana siku moja ametulia dukani ana hudumia wateja akapokea simu ilikua ni namba ngeni, huyo mpigaji aka jitambulisha majina yake na kwenda kwenye mada iliyofanya ampigie akamuuliza kama anamjua fulani tumuite rose sio jina harisi(yaani demu wake) anasema kabla yakumjibu akawa amesha hisi jambo akaamua kukata simu maana kuna mteja alikuwa ana muhudumia, na hapo hapo akapokea ujumbe whatsapp jamaa aliejitambulisha akidai rose (mpenzi wa jamaa) ni wake kwamba hii namba niliona kwenye simu ya rose nikaichukua na mambo kibao
 
,,,,, basi bwana jamaa (rafiki yangu) anadai hiyo siku ilikua ni kama mungu, kwasababu alikua amesha chonga na ROSE (sio jina halisi) angeenda kula mzigo kama kawaida akaamua kumlima brok jamaa kwani alikua anamsumbua, muda ukawa unakimbia kweli mpaka akafunga na akajinyosha mdomdo mpaka akafika kwa ROSE. akafungua kwasababu alikua anaufunguo kabisa akakuta Dem amejilaza kitandani bila was wasi, alicho kifanya kabla hajamuuliza alimuomba simu yake kwaku mdanganya anataka kurusha dakika

alipompa aka copy ile namba ya jamaa sunajua hizi smartphone kama namba imeseviwa ukianza kuandika inaleta majina? basi si ikaleta jina la kike demu kumbe alishtuka akam nyanganya jamaa simu ndipo mzozo ulipoanzia jamaa akamueleza A to Z. demu akaanza kuji umauma ya kwamba eti ile namba niya jamaa fulani ana wanyanyuliaga ma bell ya mitumba na mambo kibao. jamaa (rafiki yangu )akamuuliza jamaa anae wanyanyulia ma bell ndio apatikane na picha zako? kwasababu mchizi yaani (sponsor )wa ROSE kipindi anamtumia maujumbe whatsapp alimtumia na picha za Dem.
na akamuuliza na kwanini umemsave kwa jina la kike na kwanini amemkwapua simu, Demu akadai eti hilo jina nila rafiki ake alie muanganisha na huyo mnyanyua ma bell ya mitumba kwani huwa wanakuaga na mitumba mizuri kwahiyo alimsevu ili asije akasahau na kuhusu picha eti atakua alijirushia eti kuna siku alimuomba simu na mambo kibao, akaanza kulialia na kuomba msamha eti kesho yake atamfuata amtukane na kumuonya
eti basi kama haamini wampigie ndipo walipopiga lakini jamaa hakupokea.

jamaa akaamua kusepa maana hata mzuka uliisha kesho yake Dem akampigia sim hakupokea akamuandikua text za kuomba radhi jamaa akauchuna, basi jamaa anadai zilipita siku kama tatu dem aliamua kumfuata dukani akamwambia leo unafunga tuko wote tutaenda wote nyumbani jamaa akasema pw na hiyo siku anadai alikua anasikia upwiru balaa, basi mida ikafika akafunga wakawa wamesepa wakafika hadi geto Dem akaanza kumretea story eti alienda kwa sponsor wake akampaka ile mbaya na akamwambia kwanzia leo sitakukuja kunua nguo (mitumba) kwenu kwasababu unataka kuniharibia mahusiano yangu nk. kwahiyo demu alimuomba msamaha jamaa akamua kumsamehe sasa wakati wakufanya mapenzi ulipofika

wakaandaana pale zoezi wakati linaendelea yaani amesha ingiza mjegeja yuko anakula mbususu kumbe walisahau kufunga mlango kwa maana ilikua ni chumba na sebule, gafla mlango ukagongwa hawajakaa sawa ukasukumwa na mtu akazama ndani moja kwa moja mpaka chumbani yaani walipigwa na butwaa wote wawili. halafu apoapo jamaa (rafiki yangu) akiwa anashangaa asijue nini chakufanya maana (sponsor) aliwakuta ndio wako kwenye doggy style demu akajiongeza akakwapua taulo na simu akamsukuma jamaa nakukimbilia njee, so ndani kukabaki vidume jamaa anadai kwa bahati nzuri (sponsor) alikua ni kama age imeenda halafu mwembamba
so jamaa (rafikiyangu) akasema kimoyo moyo akizingia nina mfua
 
Ndipo jamaa alipo vaa bukta na kutoka sebuleni maana (sponsor) yemwenyewe alichanganyikiwa, wakasalimiana waka tambulishana na majina ndipo (sponsor) akaanza kusimulia kuhusu yule demu ya kwamba walifahamiana sokoni na Dem alimwambia hana mtu japo kua amesha kutana na meseji za kutatanisha kupitia ile namba alioamua kuichukua maana alinambia wewe ni x wake eti huwa unasumbua nk,

Na akaeleza kuhusiana na vitu vyote vilivyomo mle ndani ni yeye (sponsor) alimnunulia na alikua ameshaanza kusikia kwamba kuna mwanaume huwa anakuja pale, lakini alimuuliza Dem akadai anae kujaga pale ni kakake na mambo kibao

Aisee jamaa anakwambia haya mambo tuyasikie kwa wengine yanaumiza japo kua wali share (sponsor) aliamua kwenda zake akasema angerudi kesho yake kuja kudai vitu vyake, alivyoondoka demu ali rudi kwa uoga na kukuta rafiki amejiinamia akiugulia maumivu na maswali yasiokua namajibu.

Dem alifika na kumuangukia miguuni akilia eti ni shetani alimpitia mara nimarafiki walimshauli jamaa akaamua kumuuliza ni wapi alipokosea mpaka akaamua kumfanyia vile nawakati mtaji yeye ndie alimpa, Dem hakumpa majibu ya kueleweka zaidi ya kulia lia tu na kuomba misamaha

na anasema ilesiku demu hakulala kwake alimfuata jamaa mpaka dukani akasema hatoki hata ampige auwe, jamaa anadai aliamua kulala nae dukani kwasababu hakutaka jujaza watu usiku ule na mpaka kuondoka alimuahidi wata yazungumza. anasema nimwanamke aliempenda sana na amewekeza muda na pesa lakini amepigwa za uso

#wazee hayo ndio yalio mkuta rafiki yangu naomba mawazo yakumshauli kwani maumivu anayo yapitia nimakubwa

Mimi nimemwambia ampige chini
 
Na wakati wako dukani alikula mbususu kuendeleza pale walipoishia kwe doggy style au walilala tu?

Ki msingi jamaa yako (kama sio ni wewe) hapindui kwa huyo demu. Yaani amekufa ameoza. Sasa yeye kaombwa msamaha na mbeba mabelo nae kaombwa msamaha mnaendelea ku share.
 
Back
Top Bottom