hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hasidic Jews (Wayahudi wenye msimamo mkali) ni watu wa ovyo sana

    Hivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia wao. Kwa namna fulani naelewa kwa nini Wayahudi walikuwa Persecuted huko Ulaya. Huwezi kuwa...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wenye uchungu na nchi hii hatutahama CHADEMA. Mamluki walionunuliwa na Mbowe kwa maridhiano uchwara na CCM watahama ovyo

    Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga. Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe na ripoti ya Law shool: Mwakyembe ni msomi wa hovyo kuwahi kutokea

    Ukisoma excerpts nilizoziona unaona kuwa huyu Mwakyembe ni mtu hovyo kuwahi kutokea. Hovyo kabisa! Mwenye PhD thesis yalke atuwekee hapa tuone alisomea/research yake ilikuwa how much deep learning was in his topic of choice
  4. B

    JamiiForums Tanzania Twitter imekuwa ya ovyo sana siku hizi

    Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Be smart all the time, Siasa za Nchi hii ni ujinga

    Wadau habari za easter, Leo naandika kiufupi kabisa kuna siku nitaleta mzigo mzima humu. Naomba niongee na vijana umri wa miaka 18-30, kundi hili halijachelewa kuamua ni wakati mzuri wa kuwa na tahadhari na lazima mjue siasa za Nchi hii ni gamble mfano wewe kijana uliyehitimu procurement pale...
  6. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Siri ya mkoa wa Geita kuwa na matukio ya ovyo na ya ajabu hii hapa

    Habari zenu wana JamiiForums Wenzangu Waislamu poleni na mfungo wa Ramadhani na wakiristo hongereni na Ijumaa kuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zaidi matukio mbalimbali ya ajabu na ovyo yanayotokea mkoani Geita baada ya uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nikiwa naishi mkoani Geita maeneo ya...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tuzo za TMA chini ya Mwana FA zimezidi kuwa za hovyo

    Wengine walitegemea baada ya kupata waziri anaetokea kwenye muziki basi kuna mambo walau tutaanza kupiga hatua. Kinyume chake tunazidi kudidimia, Mwana FA kashindwa kusimamia tuzo. Ni vurugu hazieleweki. Ni heri muwape agency wazisimamie wapeni hata benchmark. FA na timu yako mnatia aibu.
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Kimbelembele cha wanasheria ndiyo chazo cha katiba na sheria za hovyo

  9. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Startimes kampuni ya hovyo kabisa, kwa hili wajibikeni

    Achana na bei za vifurushi,achana na kuondoa local Chanel kwenye fta. Leo kupitia Chanel yao ya Tv3 walikua wakionesha mpira Kati ya Simba na raja,,wakati kipindi Cha pili kinaanza hawakurudi uwanjani mapema walidelay for 19 minutes,,,na bado hawajatolea ufafanuzi Wala kutuomba msamaha wateja...
  10. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Walimu acheni tamaa za ovyo

    Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi. Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani? Hivi kufanya mitihani kila mara ni...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Usioe hawa wajinga wanaojiita feminist ni hovyo kabisa

    Hivi kuna Mwanamume mwenye akili timamu yaani kichwa cha Familia ana mke wa aina hii? Ok mtakumbuka wiki kadhaa nilieleza mambo yanayochangia ndoa nyingi kuvunjika... Mfano halisi ni aina ya wanawake kama huyu katika video. Vijana msikurupuke kuoa mwanamke kwakuangalia makalio na mwisho wa...
  12. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

    Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi. Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Marefa wa bongo hovyo sana

    Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nawatonya! Upinzani wataongea mambo ya ovyo kimkakati wa maridhiano na CCM kwa ahadi ya kurejeshewa majimbo yao 2025

    Hakika upinzani upo kimaslahi binafsi! Hakuna chama cha upinzani chenye nia ya kushika dola! Hata rais mbele ya bawacha alilisisitiza hilo, siyo kwamba alitania, ukweli ndiyo huo! Kelele za upinzani huwa ni za kutafta shibe hakuna chama hata kimoja chenye nia ya kushika dola kwa sasa! Katika...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku nyimbo za ovyo kwenye magari ya shule

    Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi. Kauli...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Umuhimu wa mazoezi kwa akina dada. Wanawake wa Dar wajifunze sio kunenepa hovyo na kuvaa madela uswazi

  17. D

    JamiiForums Tanzania Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
  18. Uchira 1

    JamiiForums Tanzania Oa au olewa na kijana wa hovyo uje kupotosha

    Habari JF member, Nisiwe mwingi wa maandishi niingie moja kwa moja katika mada lengwa kwaajili ya kuwekana sawa au kujuzana baadhi ya mambo. Siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuanzisha mada mbalimbazi za kuhamasishana au kupinga kuoa, hizi mada ukizisoma kwa undani unabaini...
  19. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hili tamko la Kamanda wa Polisi ni la ovyo

    Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania? SIKU ZOTE NITALIA NA...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
Back
Top Bottom