Chris Brown naona kama amekuwa mwanamuziki wa ovyo siku hizi

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,699
Sio yule Chris Brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song yake national ya mwisho aloshirikishwa Na lil dicky inaitwa freaky Friday..

Sasa hivi ana ma-tattoo mengi mwilini hadi kero, minywele rangi rangi nyingi, uso wake hauna nuru.. kama zamani.. lyrics zake za nyimbo ziko ovyo kama wasanii wa Arusha.. ambao hawajatoka kimziki, nahisi kinachompa views sasa hivi kule YouTube ni jina ila sio mziki mzuri
 
To me Chris brown is stil a better artist.
I thnk kuna umuhim wa kuangalia msanii mostly kwenye tungo zake rather than muonekano kwa sababu mambi yanabadilika and voices znabadilika pia
Breezy wa "turn up the music" alikua bado mtoto , wa sasa hv kakua zaidi.
UKitaka kuenjoy hivi vitu, download the whole album na uiskilize sio kuskiza ngoma moja tu.
Subr kwanza nkaskilize Heat ya CB na Gunna
 
Sio yule Chris brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song yake national ya mwisho aloshirikishwa Na lil dicky inaitwa freaky Friday..

Sahiv ana ma-tattoo mengi mwilini hadi kero, minywele rangi rangi nyingi, uso wake hauna nuru.. kama zamani.. lyrics zake za nyimbo ziko ovyo kama wasanii wa Arusha.. ambao hawajatoka kimziki, nahisi kinachompa views sahivi kule YouTube ni jina ila sio mziki mzuri
😂😂😂😂 Sasa kakuzidi kila kitu aalfu bado unanguvu ya kumkosoa dah sio mchezo. Kiufupi hivyo ndivyo anavyotaka mumuone na ndivyo anavyotaka mziki wake uende hajazidiwa hivyo ushauri wako na hisia zako hazina athari kwake
 
Sio yule Chris brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song yake national ya mwisho aloshirikishwa Na lil dicky inaitwa freaky Friday..

Sahiv ana ma-tattoo mengi mwilini hadi kero, minywele rangi rangi nyingi, uso wake hauna nuru.. kama zamani.. lyrics zake za nyimbo ziko ovyo kama wasanii wa Arusha.. ambao hawajatoka kimziki, nahisi kinachompa views sahivi kule YouTube ni jina ila sio mziki mzuri
Au kinachompa views ni kwa kuwa zamani alikua anamla Rihanna😃
 
To me Chris brown is stil a better artist.
I thnk kuna umuhim wa kuangalia msanii mostly kwenye tungo zake rather than muonekano kwa sababu mambi yanabadilika and voices znabadilika pia
Breezy wa "turn up the music" alikua bado mtoto , wa sasa hv kakua zaidi.
UKitaka kuenjoy hivi vitu, download the whole album na uiskilize sio kuskiza ngoma moja tu.
Subr kwanza nkaskilize Heat ya CB na Gunna

hilo goma nalikubali sana linafaa kusikiliza na bebe kali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom