hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni misemo mipya ya kukwepea vizinga(kuombwa Hela Hovyo😅😅)

    Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela. Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee😅😅😂😂😂 Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana😎
  2. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa vijana wa ovyo mitaani ni matokeo ya wazazi wa ovyo

    Kwa ufupi sana Wazazi wa sasa tujitathimini! Ukisasa umekuwa mwingi, tumejisahau! Jukumu la malezi bora kwa watoto wetu tumeweka kando. Vijana wa kiume wanafanya mambo ya ajabuajabu sana, nafikiri unaelewa nachokizungumza: mabinti wadogo wanafanya ya kustaajabisha! Tusiwalaumu wala...
  3. Double line

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina vijana wa hovyo sana

    Nimeshindwa hata kumalizia using mjonee tu wenyewe
  4. Double line

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa yale niliyosema kuhusu kijana wa hovyo Majaliwa aliyeidanganya nchi na wasomi wake

    INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭 WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA. Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

    Salaams Wana bodi, Hawa DSTV nimejiunga kifurushi toka jana mpaka kunakucha nimeshaongea na customer care wanne tofauti tofauti lkn hakuna aliyenitatulia tatizo langu. Kibaya zaidi kilichonikera ni kuniblock namba zangu nisiweze kuwapata tena. Kesho nanunua king'amuzi cha mtandao mwingine...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nje ya Social media Serikali ya Awamu ya 6 inasemwa ovyo sana

    Heri Yako wewe unaepata nafasi ya kuandika chochote hapá kwenye jukwaa la watu laki sita. Lakini pia ndani kuna chawa wakupaka rangi uongozi wa sa100 kutuamaninisha mambo Yako bomba. Kama watu wote wangekuwa na uwezo/,Uhuru wa kueleza hisia Zao hazarani, basi tungeshuhudia maandamo makubwa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mna uhakika Wameoga, Wamepiga Miswaki na hata Kuchamba vyema ili Wafaulu vyema kwa huu Mgawo wenu wa ovyo wa Maji?

    Tunawatakia Kila la Kheri Kidato cha Nne kwenye Mtihani wa Taifa 🙏 Chanzo: dawasatz Halafu bado tu CEO Wao ( Wenu ) Tumbo Tumbo SIMTANK anapata hadi Nguvu za kwenda Kumtembelea Naibu Spika wa Bunge Zungu Ofisi za Bunge Dar es Salaam na mpaka kupiga na Nne kabisa. Kwa Hasira nyingi nilizonazo...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Siku hizi 'Visitors Gallery' ya Bunge la Tanzania 'wanaalikwa' tu 'Watu' wa 'ovyo ovyo' Kifikra na Kiushawishi?

    Ipo Siku mtakuja Kuwaalika hata Wemdawazimu hapo kama hamtokuwa makini. Nimejaribu kuchunguza Wageni wanaoalikwa katika Mabunge ya Kenya Rwanda na Uganda na Kugundua Watu wanaoalikwa hapo si tu wamefanya nini ila je, wana Akili Vichwani mwao na wana Tija ya Kimaendeleo kwa Maisha ya Vizazi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Johnthebaptist umeanza kuwa hovyo, jitafakari upya na maandishi yako!

    johnthebaptist Umewatukana chadema mpaka Moderators wakafuta uzi wako. Jitafakati! Kwa "heshima" yako humu JF, hukupashwa kuandika kitu kama hiki, to quote you! CHADEMA kwa kupenda 'mapochopocho' unaweza kukuta kikao cha Rais Mwinyi wamejazana Watanganyika badala ya kuwapa fursa Wazanzibari!
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

    Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme. Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku. Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chagua Kisingizio Kimoja tu cha Kujitetea kwa Mashabiki wa hovyo baada ya Msudani kufanya yake

    1. Refa katuonea Saba 2. Tumefanyiwa Fujo 3. Tulipuliziwa Dawa Vyumbani 4. Tumerogwa sana 5. TFF ilitutenga haikutupa Mbinu 6. Mashabiki zetu walizuiwa Kuingia Uwanjani 7. Tumejitahidi ila Malaika Bahati hakuwa upande Wetu Bado GENTAMYCINE tena kwa Kujiamini kabisa nasisitiza kuwa hata Jumapili...
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

    Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake. Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ya sasa Watu wa hovyo kijamii na matukio ya hovyo ndiyo yanashabkiwa na 'Kutrendi' sana?

    Kwa mfano Mtu (Bondia) wa hovyo na very Unprofessional Karim Mandonga (ambaye hata Kupigana hajui) na ana Upuuzi mwingi anashabikiwa na kusifiwa kila Kona huku akitrendi ila aliyempiga na anayejua Ngumi Bondia Kaoneka haimbwi, asifiwi, hashabikiwi na hata 'hatrendi' pia hadi Kuonekana ni Mshamba...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Akili tuliandika mno Kupinga Ujenzi wa hovyo wa 'Fremu Lugalo' tukapuuzwa, sasa hata Mama nae Boss wao 'wamekerwa' nao

    Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe mnauheshimu na Kuufuatilia ili kuwa Bora katika Utendaji wenu basi ni huu wa JamiiForums. GENTAMYCINE...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

    Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote. Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai. Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/h
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa Richard Mwacha - Malezi mabovu, kujamiiana hovyo kunakopelekea kukataa mimba/kutelekeza watoto ni moja ya vyanzo vya panyaroad

    Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
  18. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi stendi ya daladala Sabasaba Dodoma wameshindwa kuwatenganisha wauza bidhaa za sokoni na parking za daladala?

    Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk. Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili. Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Airtel mtandao ovyo tangu jana hakuna hata taarifa rasmi wala apology

    Watu hawa hawaheshimu wanuka jasho kabisa. Huduma hovyo, mabando ghali (kwa wale wasiojua vpn) wanafanya wanavyojisikia sababu wnajuaa nape nnauye atawatetea kwa lolote lile keshakuwa msemaji wao. Tangu jana hadi sasa hivi connection ya airtel ni tiatia maji na wamenyamaza kimyaaa ukipiga...
  20. aka2030

    JamiiForums Tanzania Ujuaji wa hovyo na tamaa ya Babra unazua sintofahamu nje ya nchi

    Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine. Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae tofauti na timu ya wakubwa hii ya wapi hii? Na anahisi kufanya hivyo jezi hizo pia zitawekwa sokoni wadau...
Back
Top Bottom