Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa
Lakini picha za nyumba walizotumia mbona kama ni nyumba za mambele wakuu.
Ina maana wameshindwa kutafuta nyumba za wananchi wao na kuzitumia kama sample mpaka wachukue picha...
Mnamo dec.9 wanasiasa na wanaharakati wasiojulikana na wanaojulikana lakini wakiwa mafichoni kusikojulikana, walituma mitandao ya kijamii kuhamasisha vijana kufanya maandamo haramu yasioyo na kibali wala malengo mahususi ambayo kwa kiasi kikubwa yalipuuzwa na waTanzania wote hususani vijana, na...
Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao?
Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani...
I salute you kinsmen
Wakuu
Kuna jambo huwa linanishangaza sana
Ninapoishi kuna ukaribu kidogo na day care moja hivi.
Sasa jioni nimerudi nikawa naskia muziki mule
Kumbe wameweka graduation party wazazi wamealikwa jioni hiyo
Yaani kiufupi ni graduation ya watoto kumaliza day care! Hapo...
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha.
Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa umewakataa.
Baada ya hayo tambueni hizi ndio hoja za msingi za vijana.
Kukithiri kwa vitendo vya...
(Gafla Mwendawazimu akanyang'anya mic)
MWENDAWAZIMU:
Hebu njoo hapa kijana… njoo karibu, usiogope, mimi siwezi kukugusa - tayari nimegusa ukweli, na huo ndio ugonjwa pekee unaoambukiza nilio nao.
Uliniuliza “Kwa nini siku hizi kujitolea JKT ni hekima ya mpumbafu?”
Sikiliza basi.
Sijasema...
Habari za muda huu wadau,
Leo nilikuwa na safari fulani hivyo ikanibidi kupanda daladala kwa umbali mrefu kidogo, Kutoka tegeta mpaka Mbagala.
Baada ya kupanda daladala nikiri kwamba nimeshuhudia na kujifunza mambo mengi sana, Kwanzia msongamano, Kugombania na pia kukutana na watu mbalimbali...
Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri.
Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa.
Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali!
Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania.
Hapa tunawakumbuka watangazaji waliotikisa nchi na vipindi vilivyotupa utamu ambao watoto wa 2000 hawaufahamu kabisa 😄👇
Orodha ya...
Wakati mwingine natamani nichukue fimbo niwachape viboko makada wazee wa chama changu ccm mpaka basi!
Hivi kilichofanya Hadi mkachelewesha katiba Hadi Leo tunakosa option ya ushindi Hadi tumwage damu kiasi hiki ni nini!!?
We mzee kikwete kilichokufanya usisimamie katiba mapema ipatikane na...
Leo tupo tayari kuua kwa sababu ya dini hizi ila babu yako alilazimishwa tena kwa mabavu na damu ili afate hio dini uliyo nayo sasa hivi sio kwamba ibadirishe maisha yake for good ila aendane sawa na master wake.
WE CAN DO BETTER.
KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe.
Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani?
Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
Kwa kufuatilia press za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche sijapata kusikia hii taarifa ya Heche kukiri kuwa kuna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanhusika kuchochea kufanya vurugu bali wakati wote CHADEMA na viongozi wake wamekuwa wahanga kwa kukanamizwa...
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo
Huku...
AI ambayo imesingiziwa Imekataa kuhusika kutengeneza hii video na imesisitiza video hii ni HALISI.
Sasa wanaoisingizia AI waje watuambie miili ya ndugu ipo wapi tunataka kuzika ndugu zetu sio nguo zao.
Hili hatutaacha lipite hivi, tutapambana mpaka Haki ipatikane
Credit: Hilda Newton FB
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.