hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno na slangs ambayo yanafifia siku hizi

    SHEGA KULALEKI BOMBA MILUPO MIKASI UMEME (UKIMWI) SLIMU (UKIMWI) DENTI DUXI DU NGINGA NGINGA MZEE MWENZANGU ... ongezea na mingine tukumbushane...
  2. Kapepo

    JamiiForums Tanzania NHC Kijichi hizi bei

    Habari wakuu wa jukwaa, Naomba msaada wenu. Ningependa kufahamu ni vigezo gani vinavyotumika kupanga bei ya nyumba hizi. Je, bei huamuliwa kwa kuzingatia mambo kama eneo ilipo nyumba, ukubwa wa jengo, ubora wa ujenzi, huduma zilizopo, miundombinu, au kuna vigezo vingine muhimu vinavyotumika...
  3. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Hizi nafasi 500 za waendesha pikip8ki zisije zikawa kama zile za madereva wa lori

    Mnakumbuka wae madereva wa Lori Tanzania walirudishwa nyumbani kutoka Qatar walipoenda interview kwa kushindwa kuendesha malori ya kisasa. Na wasiwasi na hizi ajira 500 za pikipiki za huko Falme za kiarabu watarudishwa. adriz de mbusii
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Alieimba huu wimbo yuko wap sku hizi

    https://jumpshare.com/s/BPRuo4CnmKJMIEkfPZe4
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni uhakika kuwa Waafrika tumeshindwa kusoma vitabu, lakini kuna fursa tunayo mikononi mwetu, 2026 simu yako iwe na networks hizi ili tujihimalishe

    Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi. Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
  6. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania America ndio wababe wa hizi kazi na wamerudi mzigoni kwa kasi sana

    Wapendwa kwanza niwatakie heri ya X mass na mwaka mpya, then niende kwenye mada yangu Nadhani hakuna asiyejua kua America ndio baba wa ubepari, kuna miaka hapo nyuma walikua wanajificha sana katika mavazi ya demokrasia lakini tangu aingie mwamba Trump amekua sio mnafiki jamaa kaamuua kuingia...
  7. brainstorm007

    JamiiForums Tanzania Hizi hela za zamani zina dili gani au ni ushirikina?

    Wenye ujuzi wa haya mambo tunaombeni elimu
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

    Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
  9. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo 2 za Bongo Fleva zilikuwa mbele sana ya wakati: "Nang'atuka" na "Nini Chanzo"

    Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo. 1. Prof. Jay - Nang'atuka 2. Juma Nature - Nini Chanzo
  10. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Boni Yai: Mbowe kunyamaza kimya nyakati kama hizi sio sawa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai, amesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, ana haki ya kuchagua kupumzika kwenye siasa, lakini si sahihi kwake kubaki kimya kuhusu masuala makubwa ya...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Polisi wamekuwa na mamlaka makubwa,Yani siku hizi wakikukamata upelekwi mahakamani unaenda jela

    Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi. Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama msamahaa,wakaamua ufe au wakufanye chochote,wakaamua kukupeleka gerezani kama ni sehemu yao,wakaamua...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Jaji Warioba amesema kufanya vurugu wakati wa Cristmass ni uhaini wa imani za wengine, Mange na Maria walitaka kumpa pesa achochee vurugu

    Wakuu kuna hizi nukuu nimekutana nazo kumuhusu mzee wetu Jaji Warioba, Je ni za kweli ama janja janja.
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hizi sio harakati ni agenda za kuvuruga nchi

    Wanaukumbi. HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌 Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi. Anachokifanya Maria Sarungi na kundi lake ni mfano wa wazi jinsi walivyo na rotten morality towards human beings...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hizi zilizopack kwenye maofisi ya umma, yamelala taili, wanasubilia minada wajiuzie?

    Makonda aliwai endesha ZOEZI LA KUKAGUA vituo vyote vya polisi na kuamua kutengeneza magari yote yaliyokuwa vituoni kupitia. Sheria za private. Na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mnoo! Swali langu la msingi haya magari ambayo yamelala mataili mkayapaki hapo maofisini MWENU mwasubilia mjiuzie kwa...
  15. Multi-skilled

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Usinunue gari hizi mkononi

    Ewe mtanzania mwenye kuhitaji gari BAJETI NDOGO ya mkononi kwa mtu kwa ushauri usijaribu kununua gari mkononi mwa mtanzania mwenzako isipokuwa kwa gari zifuatazo. 1. Toyota premio, Toyota allion, Toyota corolla x, corona premio, Axio, Toyota carina ( Mafundi tele, spare tele na cheap, zina...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hizi propaganda mnazoeneza kuwa Hayati JPM alikumbatia mafisadi ni upuuzi. Jibuni tuhuma zenu. Why DP world? Why Nepotism.?

    Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao. Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga na kuweka miundombinu ya kisasa. Watanzania wakapewa utaalamu na kuendesha bandari yao. Kuhusu...
  17. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Kwanini mapolisi wanakufa sana siku hizi?

    Hivi karibuni matukio ya mapolisi kufariki yamekuwa mengi sana tanzania. Sijui kama na nyie mmegundua au nimeona peke yangu tu. Yaani ukiingia mtandao wowote ule iwe instagram, x zamani twitter au hata facebook ndani ya dakika mbili lazima ukutane na post ya msiba wa aliyekuwa askari polisi au...
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio akili za wananchi wanaotaka mabadiliko?

    Hapo si kujichotea tuu aisee, ni kama tuu shamba la urithi ukiishiwa unakata kipande 20*20 unauza, ndugu hawana noma.
  19. Pearce

    JamiiForums Tanzania Mbona hizi Propaganda tunaelekea mahali pa Zimbabwe?

    Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini. Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje...
  20. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, nukuu/maneno haya yametolewa na mzee Warioba?

    Wakuu Katika pitipita zangu nimekutana na hizi kauli ambazo zimetolewa na Mzee Warioba ni kweli?
Back
Top Bottom