Kwa trip hizi za Waziri Kombo abroad, ame squander mabilioni mangapi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,912
Reaction score
101,405
Travelling all over the world kumkingia Kifua mteuzi wake, ametumià mabilioni mangapi?
Kipi amekifanikisha cha kuwasaidia watanganyika? ( Maana wa zenji hawana shida , hela si zao).

Anajua kuwa anachota maji kwenye mtungi uliotoboka, lakini kwa vile kuna anazoa mahela, basi bora liende, mkono uende kinywani!

Poor TANGANYIKA!
 
Travelling all over the world kumkinhia. Kifuamteuzi wake, ametumià mabilioni mangapi?
Kipi amekifanikisha cha kuwasaidia watanganyika? ( Maana wa zenji hawana shida , hela si zao).

Anajua kuwa anachota maji kwenye mtungi uliotoboka, lakini kwa vile kina anazoa mahela, basi bora liende, mkono uende kinywani!

Poor TANGANYIKA!
Usiogope kijana. Tunafungua nchi😎
 
Travelling all over the world kumkingia Kifua mteuzi wake, ametumià mabilioni mangapi?
Kipi amekifanikisha cha kuwasaidia watanganyika? ( Maana wa zenji hawana shida , hela si zao).

Anajua kuwa anachota maji kwenye mtungi uliotoboka, lakini kwa vile kuna anazoa mahela, basi bora liende, mkono uende kinywani!

Poor TANGANYIKA!
Halafu bi muuaji hakuamini kabisa kumpa mtanganyika hiyo kazi ya kufunika mauaji. Anaogopa asije akaenda mtu badala ya kudanganya akasema ukweli wa kilichotokea.
 
Back
Top Bottom