Kelele za ajabu sana. Unapanda dalafala una stress zako unakuta mziki sauti juu.
Au asb unakuta station**** wanapiga story kutoka vichwani mwao, mawazo Yao idea zao hazina logic yoyote.
Kuna dalafala Moja imeandikwa pale ndani juu kwamba...nanukuu...''SAMAHANI ABIRIA SAUTI HAIPUNGUI" Mwisho wa...
Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao,
Binafsi napendekeza
1. Feisal Salum (feitoto)
2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal
3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal.
Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi...
Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini bado hazijasaidia kutoa kiwango cha juu cha maji kinachoweza kupata umeme wa uhakika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Shirika hilo Elihuruma Ngowi, wamekagua mabwawa mbalimbali ya...
Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong
Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho
pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana
kwa...
Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao.
Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
1. Biashara ya kuuza vocha za simu;
2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu;
3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha;
4. Biashara ya Disco vumbi;
5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS);
6. Kusoma mita za Umeme (japo hii haikuwa biashara bali ajira)
7. Biashara ya kuchezesha Joyce Wowowo;
Ongeza...
1. Kukata kucha siku ya Alhamisi.
2. Kutokula kwa kutumia kijiko.
3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti.
4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu.
5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini.
6...
Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo.
...
Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila...
Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo.
1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa.
2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani...
Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni
udaktari
Kilimo na uvuvi
Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science
Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound
Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu...
Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka
TMA, Je, mkulima anaweza kupanda.
Ushauri please
Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati...
Hizi fedha zilitolewa Kwa ajili ya viongozi wa CCM, wakagawana Kwa mgongo wa kijiji. Hakuna mwana ACT wala CHadema wala chama kingine cha siasa aliyepewa hizi fedha.
Zilichukuliwa zikapelekwa kwenye matawi ya CCM wakagawana. Hii NI mara ya pili zoezi kama ili linafanyika, yalitolewaga mabilioni...
Ya Kwanza ( #1 )
Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa.
Ya Pili ( #2 )
Kibaka / Mwizi akikamatwa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.