Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu wetu?
Umasikini upi tulionao sisi ili hali robo nzima ya bajeti yetu, inaishia mifukoni mwa...
Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie.
Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k,
Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali?
Je, yanafaida gani kwa...
Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku.
Taribo alijipatia umaarufu akiwa anacheza soka, huku akiwa na style yake ya kusuka nywele na kuzipaka rangi ya kijani.
Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu...
Umefikia umri wa kuoa? Umewahi kwenda kwa wazazi wa mwenza wako kuanza taratibu za kufanikisha hilo? Walikueleza nini? Kipi kilikufurahisha na kipi kilikukera au kukukatisha tamaa?
Majibu ya maswali haya yanaakisi uhalisia wa wanayoyapitia vijana wengi wanapoanza mchakato wa kufunga ndoa kwa...
Kutongoza ni mchakato.
Sio kitendo cha siku moja au saa moja, bali ni kipengele kwenye maisha yako. Huwezi kukikwepa. Labda kama huna mpango na wanawake.
Kutongoza kunachukua muda.
Kutongoza hakuishi.
Kumtongoza mwanamke ni sehemu ya maisha yako.
Kwenye muda wa huo mchakato, fuata haya.
...
Habari kwa wanajukwaa. Ni matumaini yangu muwazima wa afya.
Awali ya yote kabla sijaenda kwenye mada nataka nielezee u-perfectionism kwa kifupi. Perfectionism ni hali ya kuwataka/kutarajia au kujitaka/kujitarajia wewe mwenyewe kufanya jambo/mambo bila ya kuwa na kosa/makosa yoyote.
Watu ambao...
Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
Mimi ni mwananchi wa kawaida leo nimeamua kuweka hili suala wazi ili jamii ione wazi kuliko kuendelea kulalamika chinichini kila siku.
Naamini kupitia hapa Jamii Forums ujumbe huu utawafikia Watanzania wengi na vyombo vya Serikali kuweza kuelewa ninachokiandika hapa.
Hoja yangu ni kwenye zile...
Leeds (home)
Liverpool (away)
West Ham (away)
Southampton (home)
Man City (away)
Chelsea (home)
Newcastle (away)
Brighton (home)
Nottingham Forest (away)
Wolves (home)
Hii ndio inaitwa its in their own Hands (Hata wakishindwa Six - Pointer na Man City)
Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi;
1. Inachukua muda mfupi kujenga.
2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote).
3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
Imezoeleka Rais Mpya aliyeko madarakani kuadhimisha siku 100 Ikulu, utaratibu ambao nchi nyingi zimeiga kutoka Marekani. Baada ya hapo Rais anaachwa kuchapa kazi.
Hata Joe Biden baada ya zile siku 100 hatukusikia tena akipongezwa Kwa mwaka mmoja au miwili au vinginevyo. Siku 100 imewekwa...
Pesa makaratasi... hii ndo maanake ☝️😁😁 ukichoma pesa serikali inakupa kesi. Pesa zangu afu serikali inanipangia matumizi ☝️ hata kuchoma pesa ni matumizi mbona nikipoteza pesa hainisaidii kutafuta hizo pesa.... Utumwa still bado upo. Any way ....
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Shida zako zilikuwa za familia, ukoo na jamii nzima.
Furaha yako, ilikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima.
Mtoto wako alikuwa wa familia, ukoo na jamii nzima.
Maadili yako yalikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima.
Huko ndiko tulipotoka, tumefika hapa ndiko...
Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa?
Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
biashara
hizi
huwa
kero
kingono
kuisha
kuliko
kutoka
makahaba
mbagala
nyumbani
taarifa
ukahaba
utamu
wake
wake zetu
wanawake
waondolewe
wapi
wateja
wengi
Wasalaam wana jamii forums,
Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya..
-Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi...
Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu.
Kabla sijaendelea mbali naomba nisema kwamba mimi ni fundi simu, kazi hii imefanya nijifunze mambo mengi kupitia changamoto za...
Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka.
Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la sita afu mama amekaa kihasara tu mtoto anayaona mapaja ya mzazi wake baada ya kuingia Mimi...
Hii ni makosa. TISS inakuwa trivialized kwa kuitajataja bila sababu.
Hawa ni state police,wanalinda viongozi,so,what's troubling you?
Truly I am amazed. Ni kitu gani kinasababisha hii flurry ya posting za TISS?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.