hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Clouds wananufaika vipi na mgogoro wa chama cha walimu? Naona wamekusanya chawa studio, TUCTA iliuawa kwa njia kama hizi

    Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao. Tuliona namna Serikali...
  2. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?
  3. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyovimiliki

    Ndugu zangu jana nilipata Ajari na pikipiki yangu nikiwa na abiria wangu {pole sana boss lady hope unendelea vizuri} ajari hiyo niliipata pale Sinza africa sana...kuna gari ilipoteza break ikagonga bajaji, bajaji ikapoteza uelekeo nikajikuta nagongana nayo uso kwa uso.😭😭😭 Ndugu zangu wamiliki...
  4. B

    JamiiForums Tanzania TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

    Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi. Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya. Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

    Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo. "Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
  7. T

    JamiiForums Tanzania TV na Monitor mtumba wa USA bei chee hizi hapa changamkia

    Sold!
  8. MDAU TZ

    JamiiForums Tanzania LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

    Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
  9. A

    JamiiForums Tanzania TCRA kwa nini hamzifungii hizi website au mna kazi za ajabu ajabu

    https://tanesco.tz.onrecruit.site/?m=1#1702207336312 Hawa watu mnaweza mka deal nao mara moja lakini mnafikiria mengine.....
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi. Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana. Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ni miongoni mwa walinzi wazuri duniani

    Huyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetu
  12. emmarki

    JamiiForums Tanzania Manabii kupewa heshima hizi ni utumwa

    Unaweza dhani ni ujambazi unafanyika mahali kumbe nabii anaingia ibada
  13. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Anataka kuacha Ndoa kwa sababu hizi

    Bwana MAPESA amesema biashara yake imeshuka baada ya ndoa. Bwana MAPESA anamiliki maduka makubwa matatu ya biashara ambapo bidhaa za nyumbani na mahitaji mengine hutolewa, biashara ambayo alikuwa akifanya akiwa mtu mmoja(, bila kuwa na ndoa Kabla). Biashara Ilikuwa Inaendelea vizuri sana Kwa...
  14. blogger

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

    Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography. Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English. Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher... Walimu Wao...
  15. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Usipoacha tabia hizi hautakuwa huru kifedha

    Habari wakuu, Uzi huu unatokana na maisha anayoishi shemeji na mdogo wangu lakini pia naamini wapo wengine wanaoishi maisha kama ya hawa madogo. Ikumbukwe nimeleta uzi huu siyo kwa lengo la kuwabeza, kuwabagaza, kuwatweza au kuwadhihaki kwa namna yoyote ile bali kwaajili ya kuwapa wengine...
  16. Doto12

    JamiiForums Tanzania UDART kama mna nia ya kutoa huduma toeni hizi nauli ni upokaji

    Unavailable wazungu si ndio badi kuweni na utu. Jambo moja msilolijua nchi za mabepali, wanatufanyia ubepali wageni. Lkn kwa raia wao wanafanya welfare huduma kwa wananchi. Istoshe hata sie wageni tunapoingia mataifa haya tunaona. Tiketi ya mkato mmoja itumike kwa masaa kwann nikate kila mara...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Afrika ni uthibitisho kwamba Maendeleo yanategemea akili kuzidi uchawi, pamoja na ndumba zote hizi bado tupo nyuma sana

    Hasa kwa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara tulikojaa waafrika wenye skin tone nyeusi. Tena kuna makabila makubwa karibu kila familia ina mganga wake, hata hapa kwetu Tz lipo. Mambo mengi tunaamini ushirikina ndio suluhisho, mtu akiumwa anahisi karogwa, kwenye biashara mtu anaweka mikaa...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Lema ulifutiwa makosa na Rais Samia lakini unataka Pauline Gekul ang'ang'aniwe. Tabia za kubebana msipende maana zinaharibu mfumo

    Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi. Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema. Lakini rais alimfutia kesi zake zoke. Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇 === Alichoandika Godbless Lema...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuanza kuuza hizi ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kuanza Kuuza Hizi Ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki...
Back
Top Bottom