hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Graphics hizi shida ipo wapi?

    ...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

    Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

    Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni? Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
  5. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

    Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa na wanayaongeza na Butter 'magarine' ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu...
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa Mfanyakazi hizi ni mbinu wanazotumia wakienda ku-cheat

    Haya mambo hayana formula lakini odd kubwa za kuchapiwa zimelala kwa watu waliiooa watumishi, yaani 60% Huwa ni dhaifu saana so kupigiwa ni kugusa tu. Imani yangu inaniambia kwamba Mwanamke hawezi kucheat kwa bahati mbaya yaani lazima kuwepo na sababu ya yeye kucheat, lazima atengenezewe...
  7. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

    hawa ni ANDO g30 ni 18500 Hawa ni ALAF g28 ni 23,311 hawa ni sunshare g28 ni 24,100 . Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
  8. Valenciaga

    JamiiForums Tanzania Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

    Habari wadau, Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani. Itakapofika tarehe 01-01-2024 Nataka niache: (01) Kunywa soda (02) Nataka nikae mwaka mzima bila...
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Maisha siku hizi yamekua vice-versa, no code, no honor. Ushahidi huu hapa

    Maisha ya siku hizi yanakera sana hasa kwa sisi tulozaliwa zamani kidogo, wengine mtaniita conservative lakini kiukweli mambo yakiendelea hivi dunia itakua ya hovyo sana in 10 years. No code, No honor. Yaani sikukuu kubwa kama Chrismas haina zile bashasha tulizozoea. Na sio ya mwaka huu tu,ni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unabana matumizi yako Kifedha wakati wa Sikukuu hizi au tukuache na mambo yako?

    Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha. Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024. Tule bata ila kwa mipango
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tangu zamani najua wazaramo wanapenda ngoma lakini leo ndio nimejionea ngoma zao, kupandisha majini ni ngoma ? kwa ngoma hizi nmeanza kuwaogopa !!

    Ni karibu kila mtanzania anajua sifa ya wazaramo ni kupenda ngoma ila sikuwahi kufikiria kabisa kwamba ngoma zenyewe ndio hizi. Ngoma inayopigwa hapa inaitwa dogori,
  12. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Imani hizi! Je, unajua kanisa linaitwa "Chanzo halisi?

    Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi" Cha kushangaza wanatumia bibilia ile ile Wanaenda kuhiji kigoma, ndugu msomaji ni kigoma hii hii ya karibu na burundi😂😂 Na huyo...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu

    Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto . 1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny): Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi. Sababu kuu ya kuchukiwa kwa hii couple ilikuja baada ya Diamond Platnumz kumpiga chini Wema Sepetu...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Shule ambazo mtoto anashinda siku nzima shuleni kama watu wazima kazini ni hatari kwa future ya mtoto zama hizi

    Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto. Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani Siku ya mtoto haipaswi kuishia kujifunza ya shuleni tu, anapaswa apate muda wa kujifunza...
  15. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mjamzito anapitia changamoto hizi, je nini chanzo?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza. Anapitia changamoto hizi. ★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia rudia. ★ Kichwa kuuma mara kwa mara. ★ Kuhisi baridi sana mara kwa mara. ★ Kuhisi kizunguzungu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hizi picha zinathibitisha makabwela wa CCM mtawasindikiza akina Mwigulu na wenzake

  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera hizi taarifa tutawaamini vipi? Zaidi ya Wapalestina 19,000 wameuawa toka Vita ianze?

  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tuzo zinazotolewa kwa wasanii ndani na nje ya nchi huwa zinaambatana na zawadi za pesa taslimu? Ni kiasi gani?

    Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo. Nataka pia...
  19. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Gari hizi usisafiri nazo Mkoani: Usifanye haya, Tanganyika inakuhitaji.

    Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo wanavyyomuita. . Ajali nyingi kipindi hiki na hasa watu wanaotoka Dar kwenda mikoani. Sababu za ajali ni pamoja...
Back
Top Bottom