hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara. Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali. Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini 1. TRA 2. BOT 3. DCEA 4. TISS 5. IMMIGRATION 6...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna kitu tunafichwa Simba SC kuhusu hizi sajili

    Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri. Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna. Siku hizi...
  3. JamiiForums Tanzania Wasukuma wanaoendelea kufanya hizi mila za kimabavu zilizopitwa na wakati wapewe kesi za ubakaji, mabinti waheshimiwe.

    Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila, Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi hizi zinawafaa INTROVERTS wa Tanzania wasiopenda ama wenye shida ya kusocoalize

    Introverts ni watu wanaopenda kuwa peke yao ama kuwa na circle ndogo sana ya watu, ni aidha wana aibu, wakimya, wana ulemavu wa mawasiliano, n.k. hivyo kupelekea wao kuwa na uwezo mdogo wa kusocialize, Watu hawa huchukuliwa kimakosa kwamba wana viburi au wana jeuri, Kazi hizi zinawafaa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa sababu hizi, maandamano ya CHADEMA Tar 24 yaungwe mkono na kila mtanzania

    1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi. 2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake. 3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kuwajua Hawa walioimba Gospel track hizi

    Naomba kujua Hawa walioimba hizi nyimbo ni Nani...najua tuu melody zao nime attach nikiwajua ntashukuru
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

    Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna aina mbili za umaskini hizi hapa

    Afrika kwa mfano Tanzania tuna 1. Umasikini wa mawazo/ fikra na 2. Umasikini wa kifedha. Manake Inabid tupambane na two types za umaskini at the same time. Mapambano yanakua makali tuna pambana na umaskin WA mawazo/ fikra kwa kiwango kidogo sana halafu tunapambana na umasikini wa kifedha. Kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

    Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi. Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:- 1. Salama Jabri. 2. Fatuma Karume. 3. Maria Sarungi. 4. Kajala. 5. Dinar Marios. 6...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Hizi pombe za kwenye vichupa vya plastiki zipigwe marufuku haraka, vijana wataisha

    Hali hii
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanafunzi shule za Serikali kulindwa na kupikiwa na vibarua wasio na taaluma husika? Kwanini wanafunzi wawajibike kuwaajiri hawa vibarua?

    Wanafunzi wa kidato cha sita wanalipa michango mbalimbali. Baadhi ya michango hiyo ni mchango wa mlinzi. Je walinzi wa shule siyo waajiriwa wa serikali? Na kama siyo waajiriwa wa serikali wanapolipwa na wanafunzi wanalipwa kama vibarua? Kama ni vibarua wanahudumu kwa miaka mingapi kama vibarua...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu kuu 3 kwanini mfuko wa NHIF unapitia changamoto nyingi katika kuhudumia wananchi

    Habari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola. Mambo haya nimefuatilia ndio chanzo kikubwa ya Changamoto :- 1. ELIMU DUNI KUHUSU MFUKO WA NHIF (hupelekea matumizi yasiyo sahihi na kudhohofisha...
  14. JamiiForums Tanzania Daliliz za mchepuko😂

    KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine. UTATANISHI KATIKA MATUMIZI YA SIMU Ukiona simu zinamiminika mpaka usiku wa manane naye anapokea kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni maskini ni vyema utambue mapema kuwa rasilimali za nchi hii hazikuhusu, ndio maana Sheria kali za kulinda rasilimali ziko kwaajili yako

    Hello! Kama wewe maskini please, please, please usizisogelee hizi rasilimali za taifa . Ni hatari zaidi ya kutupia kitimoto kwenye kusanyiko la Eid. Utauliwa na vijana wa TAWA, TANAPA, au TFS na ukinusurika nao utaozea jela. Ni ushauri tu.
  16. JamiiForums Tanzania Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga, chukua nondo hizi

    KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA Kwa kilimo Cha nchi kavu...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo Watu wake hawana Furaha duniani, Tanzania ipo

    122. Togo 123. Jordan 124. Ethiopia 125. Liberia 126. India 127. Madagascar 128. Zambia 129. Tanzania 130. Comoros 131. Malawi 132. Botswana 133. DR Congo 134. Zimbabwe 135. Sierra Leone 136. Lebanon 137. Afghanistan
  18. JamiiForums Tanzania Graphics hizi shida ipo wapi?

    ...
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

    Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
  20. JamiiForums Tanzania Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…