hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Makabila makubwa yakishika uongozi hujazana wao, bora nafasi za juu wapewe makabila madogo

    Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la. Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana?Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma? Miaka ya leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo? Sasa tuje kwa...
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia katumia strategies hizi? Kuna Nini kimejificha?

    Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa 2024 na 2025, inaonekana Kuna mbinu ambazo Samia amezitumia ili kushinda huo uchaguzi. 1. Strategy ya kisheria, Muswada wa Tume Huru ya Uchaguzi feki: Ili kupata uhalali wa upinzani kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025...
  3. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

    Niaje waungwana Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio aina za watu wa dunia hii na asili zao

    HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa BLACK SEA, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama. Tofauti na sisi great lakes ZETU za CHIMBUKO la mababu ZETU zote...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tumechoka sasa dharau za Clatous Chama tafadhali aachwe upesi

    Tokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano. Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Watanzania wanafichwa taarifa za vifo vya majanga hasa ikihusisha taasisi zingine muhimu?

    Kama mvua kubwa yoyote iliyopiga Mkoani kwako (uliko) haukuleta madhara yoyote mshukuru sana Mwenyezi Mungu. Ila kwa sisi tulio eneo moja Mkoani Morogoro Mvua ya Jumamosi kuamkia Jumapili imeleta madhara makubwa mno kiasi kwamba wanavijiji Wenzetu kama 40 hivi na wana Taasisi Muhimu 11 bado...
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nasaha za kila nyota wiki hizi

    NASAHA ZA KILA NYOTA WIKI HIZI. PUNDA ni vyema kua na tahadhari hususani kwa wale unaowaamini. Usifanye kazi kimazoea itakukost. NG'OMBE hiki ni kipindi cha majaribu sana kwako, kazana kwa maombi na sala. MAPACHA ni wakati sahihi ya wewe kufanya maamuzi, chagua mmoja anaekufaa achana na...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa hoja za Jaji wa Uganda aliyesimamia ukweli kule ICJ

    Yeye hakuunga mkono upande wowote, alisimamia ukweli na kusema tatizo la pale Palestina ni la kihistoria na linapaswa kutatuliwa kidiplomasia, kasema kesi za kisiasa haziwezi kutatua lile tatizo. Na ndio ukweli wenyewe maana hata hiyo ICJ ilishindwa kusema chochote zaidi ya kuomba Israel iwe...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

    •Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego. • Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu. • Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha...
  10. Jasor

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship. Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Historia na miaka ya hizi dini na waasisi wake

    Kwa mnaopenda kulipuka mabomu kisa dini, hebu jitafuteni humu, wapi mlikoanzia na mliowakuta....
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Taasisi za mikopo zinakera sana ,Zijirekebishe zinakera Kwa kweli

    Mnanikera sana Kila baada ya siku mbili mnatuma tu Text zenu ,mtu kama anahitaji huduma atawafata ofisin kwenu, Na siyo Kila mtu ana malengo ya kukopa kopa hovyo.
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Albert Chalamila: Usafi wa Wanajeshi hautoathiri maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
  15. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za kwenye vitabu vya siku hizi mbona hatujui zinaimbwaje

    Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana. Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
  16. Lidafo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi ndizo sababu za kwanini Serikali ya CCM haitaki Maandamano ya CHADEMA

    Habari wanajamvi! Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24 mwezi huu wa kwanza nikaona si vibaya na mimi nikatoa mtazamo wangu hasa baada ya nguvu kubwa...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna maisha ya mapenzi! Ni maisha ya maslahi!

    Yale mambo ya kuonyesha unampenda kwa dhati kiasi gani mpenzi wako, au mke wako, au bosi wako au rafiki yako hayapo tena! Kila mtu anaangalia maslahi ya kutoka kimaisha au kupata unafuu fulani wa changamoto za maisha au kwa jinsi gani uwepo wako utampa unafuu wa changamoto za kila siku...
  18. monotheist

    JamiiForums Tanzania TV ipi yenye ubora kati ya TV hizi za kichina

    Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora wa picha kati ya hizo tv tajwa
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna hofu gani ndani ya CCM? Hizi kauli zinaashiria mpasuko au mmeguko?

    Habari za muda huu ndugu yangu Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu. Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt. Emmanuel Nchimbi kwamba "Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ndimi mbili za Makonda hizi hapa. Mdahalo alioulilia wamtokea puani , aweka mpira kwapani

    Hebu jionee mwenyewe Mdahalo nao aukimbia
Back
Top Bottom