Kunani hizi timu ndogo kuzikamia timu kubwa

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,616
Jana Azam na mastaa wao wote ( sopu,idrisu,feitoto,nado,lyanga,idrissa,bangala ) lakini wakadroo na Dodoma
Leo yanga na mastar wao wote(kundubela,yaoyao,masingeli,azizi kibukta,pakome kakoma,mudaumemuathir yahaya, liquid protector diara,Ibrahim kibaka,suraboy,kibamarage,morokoko,mzizi na kikosi A na B kwa ujumla) wamekumbatiwa na ihefu
Kesho simba na pira lao papatupapatu itakuwaje mbele ya maafande
 
Unasema
 
Attachments

  • 20231004_192456.jpg
    20231004_192456.jpg
    190.9 KB · Views: 2
Jana Azam na mastaa wao wote ( sopu,idrisu,feitoto,nado,lyanga,idrissa,bangala ) lakini wakadroo na Dodoma
Leo yanga na mastar wao wote(kundubela,yaoyao,masingeli,azizi kibukta,pakome kakoma,mudaumemuathir yahaya, liquid protector diara,Ibrahim kibaka,suraboy,kibamarage,morokoko,mzizi na kikosi A na B kwa ujumla) wamekumbatiwa na ihefu
Kesho simba na pira lao papatupapatu itakuwaje mbele ya maafande
Pira papatu papatu litachukuq Ubingwa...mark myword .Nyie shangaeni na Kundumbele wenu!
 
Back
Top Bottom