Hizi ni baadhi ya comments za members wa JF zilizonivutia sana

an alpha male

JF-Expert Member
Mar 28, 2022
832
1,748
Hi guys....yeah sawa na kichwa cha habari hapo juu, hizi hapa ni baadhi ya comments ambazo zilinivutia sana kutoka kwa members mbalimbali wa jf.....

1) Ukitaka kuiharibu jamii yoyote mwache mwanamke awe sehemu ya maamuzi ya mwisho. Mwanamke ni mshauri mzuri ila sio muamuzi mzuri.yeye anafanya maamuzi pale mguu wake ulipokanyaga tu siyo zaidi ya hivyo.Wanawake wanaharibu mambo wanaume wanarekebisha mambo. Ndivyo tulivyoumbwa.

2)Mwanamke, mbwa na paka ndio viumbe pekee vinavyopendwa "unconditionally". Mwanaume anapendwa kwa condition kwamba kuna kitu anaweza ku provide" -

3)Kwenye maisha kumbuka jambo moja, wenzako wanapoleta mezani chakula halafu wewe huleti, inawezekana wewe ukawa ndiyo chakula chenyewe. Duniani hakuna kitu cha bure ukiona unatumia kitu cha bure, inawezekana wewe ndiyo ukawa bidhaa yenyewe.

4)Kadri unavyokaa na kitu moyoni ndivyo kinavyokutafuna taratibu.

5)Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini

Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit).


6)Walioamua kupenda wana amani kuliko waliopenda, aloamua kupenda anajua alieamua kumpenda na kwanini ameamua kumpenda.

7)kinachomuumiza binadamu ni hisia zake mwenyewe na sio uhalisia wa vitu.

8)Ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ndie fursa

9)Ukiletewa Kesi yoyote na Mwanamke iwe NI mama yako, au MKE wako, au Binti yako, au Mama Mkwe wako, shangazi au Bibi yako, nakusihi usiiendee kichwakichwa! Utakwama! Utaangukia pua.

Kwanza elewa kuwa Wanawake hawapo kwaajili ya HAKI isipokuwa wapo kwaajili ya UPENDELEO. Ukishalijua hilo basi moja Kwa moja utakuwa Makini kwenye kesi za Dada zetu, Mama zetu, mabinti zetu na Wake zetu.

10)Small habits leads to big changes
(small mistakes leads to big consequences)

11)Ukiona watu wameamua kufunga ndoa ujue wamekubaliana na madhaifu yao...

12)Wanaume hawaoi kwa ajili ya kutafuta furaha, hilo siyo lengo la ndoa kwa wanaume. Lengo kuu ni kuendeleza kizazi.

Wanawake wanaolewa kutafuta furaha. Ndoa kwa mwanamke ni furaha kubwa sana sana.
Unaweza usiteswe na mapenzi. Mwanzoni yakakutesa unafamilia na watoto au yakakutesa umeshaanza kukata nguvu.

Zipo nyingi ila hizi ni baadhi tu ambazo mimi zilinivutia sana....

najua kuna comments ambazo hata wewe zilikukosha tiririka hapo tuone.🙌🙌🙌
 
1 hiyo
 

Attachments

  • Screenshot_20230811_110530.jpg
    Screenshot_20230811_110530.jpg
    226.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom