SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 5,142
- 7,911
Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League.
Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana timu kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hii ni kwa sababu ni rahisi zaidi kuiuza Senegal au Ghana kimataifa kwenye masuala ya mpira kuliko Tanzania au Kenya kwa mfano.
Itakuwa inafanyika review ya performance ya timu zote kila baada ya miaka 3 na baadae review hiyo itakuwa inafanyika kila miaka 5. Katika review hizo, timu 2 hadi 4 ambazo zitaonekana kuwa na matokeo mabovu, zitakuwa zinabadilishwa na kuingizwa timu mpya.
List yenyewe ni hii:
Kuna timu kadhaa zitawekwa kwenye waiting list wakati bado kamati inaendelea kuangalia utayari wa timu hizi 24. Timu hizo za ziada ni:

- Mamelodi Sundowns - South Africa
- Orlando Pirates - South Africa
- Al Ahly - Egypt
- Zamalek - Egypt
- Simba - Tanzania
- Wydad - Morocco
- Raja Casablanca - Morocco
- Esperance - Tunisia
- Etoile Du Sahel - Tunisia
- Coton Sport - Cameroon
- TP Mazembe - DRC
- AS Vita - DRC
- Petro de Luanda - Angola
- Power Dynamos - Zambia
- Al Hilal - Sudan
- Enyimba - Nigeria
- ASEC Mimosas - Ivory Coast
- Hearts of Oak - Ghana
- Vipers - Uganda
- Jwaneng Galaxy - Botswana
- AS Bamako - Mali
- CR Belouizdad - Algeria
- JS Kabylie - Algeria
- ASC Jaraaf - Senegal
Kuna timu kadhaa zitawekwa kwenye waiting list wakati bado kamati inaendelea kuangalia utayari wa timu hizi 24. Timu hizo za ziada ni:
- Hafia - Guinea
- Berkane - Morocco
- Asante Kotoko - Ghana
- Young Africans - Tanzania
- Africa Sports - Ivory Coast
- USM Algiers - Algeria
- Pyramids - Egypt