ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,612
- 59,956
1.Unafungiwa kwenye chumba chako kizuri hotelini ila hutakiwi kuongea na mtu yoyote kwa miezi 6,uko tu mwenyewe na muziki na video za ngono na unaletewa chakula unachotaka wewe chochote kile kwa muda wowote ule ila hutoki nje hata kunyosha miguu kazi yako ni kila siku kupiga nyeto bao zaidi ya 2 ili kuwakusanyia sperm wanazotaka kwenye kachupa chao.
Kwa siku utapatiwa lisaa limoja tu la kuwa online kuchungulia mitandaoni na kuwasiliana na watu wako uwatakao ila hutoki nje..malipo baada ya hio miezi sita ni shillingi million 10
2.mchana unaruhusiwa kutoka nje,kuwa online na kutembea umbali unaotaka na kufanya mazoezi unavyotaka na kuongea na watu ila kwa siku utatakiwa kula mlo mmoja tu ila mwisho wako ni saa 12 jioni utarudi ndani na kisha utatakiwa umalize chupa ya pombe yenye 700 ML na alchol ya 20% na sigara 7 hiyo ni kila siku hutakiwi kupitisha hata siku moja na sex na mwanamke utaruhusiwa kufanya kwa mwezi mara 1 tu katika hiyo miezi 6 maanake una access ya kufanya mapenzi real mara 6 tu kwa miezi 6.Na hii tafiti ya pili malipo yake itakuwa ni shillingi million 5
Utachagua kazi ipi kati ya hizo?na baada ya miezi sita ukitaka ku renew mkataba tena unaruhusiwa