kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
.
Duh, I feel sorry for him 😞Nimezi google mkuu.....wanasema ni za kuzuia na kufubaza virusi vya ukimwi.
Who? Ungeuliza Kwanza nimezikuta kwa naniOne man down
Code red 😎One man down
Mimi nilitaka kujua tu zinatibu nini maana huyu niliye mkuta nazo sikuwahi kujua kwamba anaumwaTayari kimeumana mkuu hapo ni kula vyako na kuishi kwa matumaini
Mkuu ungeuliza Kwanza nimezikuta kwa naniKama umemla kavu wahi kaka.
Vaa condom 3 kwa pamoja brohNimemkuta nazo mtu usiku huu kazificha na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?
View attachment 3297123
ITS OVER BROTHER.!!
Mpigie trump magoti
Basi ndo ivyo na mkumbushe asali sanaMimi nilitaka kujua tu zinatibu nini maana huyu niliye mkuta nazo sikuwahi kujua kwamba anaumwa
Hahahahah