Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,388
Reaction score
16,187
Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.

Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂‍↕️
 
Anamtukana nani wewe au Mama mwenye nyumba? Na upo wapi nije nikuchukue nikupeleke Serena Hotel ukalale kwenye Presidential suite utoke huko kilabuni
 
Nyumba ya kupanga ongea na mwenye nyumba.

Kama kwako muone mjumbe au serikali za mitaa.

Onyo
Siku ya yeye kupewa taarifa jiandae kwa matusi yasiyo na idadi.

Wazo
Akitukana wewe record kila kitu alafu mshirikishe kiongozi uliempa jukumu.
Asante mkuu kesho ntaongea na mwenye nyumba
 
Anamtukana nani wewe au Mama mwenye nyumba? Na upo wapi nije nikuchukue nikupeleke Serena Hotel ukalale kwenye Presidential suite utoke huko kilabuni
Anatukana mwenyewe tu ila sauti kubwa, sipo kilabuni, asante unaweza kumpeleka mwingine huko serena
 
Back
Top Bottom