PostGE2025 Hizi sio harakati ni agenda za kuvuruga nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
56,950
Reaction score
46,442
Wanaukumbi.

HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌

Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi.

Anachokifanya Maria Sarungi na kundi lake ni mfano wa wazi jinsi walivyo na rotten morality towards human beings na imani za watu. Yaani hawajachoka na bado wanataka danu zaidi za watanzania ziendekee kumwagika!.

Yaaani maandamano ya kudai katiba mpya sijui takataka gani zinahusiana vipi na sherehe za Krismasi ambazo ni muhimu kwa wakristo kiimani?

Unakwenda makanisani kudai nini? Yaani mmekosa kufanikiwa kuchochea machafuko na kuangusha serikali huko mitaani sasa mmevamia makanisa na sherehe za kidini!. Hivi mko sawa vichwani nyie watu?

Maria Sarungi na kundi lake walitamani sana wafe watu wengi mno kwa ajili ya kiu yao na ajenda zao! Wameshindwa hilo sasa wako makanisani na wanataka kuwavuruga wakristo na sherehe zao za krismasi.

Tulipokuwa tunawaambia hawa watu wana ajenda zaidi ya mnachokiona hii ndiyo ilikuwa maana yake.! Hawa waliweza kulipa ma bloggers wa Kenya kuwasaidia kufanya uchochezi. Leo waulize wale wakenya wako wapi? Wameshakonboa nchi? Au wamechoka? Jibu ni kuwa kandarasi ya kufanya kazi wakiyolipwa kufanya imefika mwisho na hakuna tena kelele za kukomboa nchi. Sasa jiulize nani alikuwa anawalipa? Na kwa malengo gani haswa? Halafu bado mnajidanganya kuwa hawa ni wanaharakati? 🤓

Halafu yale maandamano yao yasiyo na kikomo yamefikia wapi? Yanaendeleaje labda? Ile porojo yao ya ICC mmeisikia tena au bado wanapeleka ushahidi? Sasa hayo ndiyo mambo mnatakiwa kutafikiria na kutafakari juu ya lengo haswa la watu hawa!..

Wakristo simameni na kemeeni huu upuuzi wanaotaka kuufanya wakiwa na lengo la kuvuruga sherehe zenu za kiimani kwa . Hawa watu hawana hofu ya Mungu na hawana hofu ya kuheshimu imani za wengine ndiyo maana mnaona wanaona ni sawa tu kufanya haya mambo!

Wafukuzeni huko makanisani waje humu nje kwenye siasa tupambane nao vizuri msikubali waingie makanisani huko!. Huku nje wamekwama na kushindwa ndiyo maana sasa wanakimbilia makanisani!

Wakifeki sana Disema 9, na watafeli vibaya sana Disemba 29 na kuendelea!.. Neno letu kwao ni kuwa hela ya NED na Open Society na Ford watairudisha tu mwaka huu 😁

Yaani watanzania waache kusheherekea Krismasi wahangaike na uhuni na pumbavu wa wanaharakati.!.

WITO kwa watanzania ni kuwa kindeni sana hii nchi maana kuna nguvu kubwa sana kutoka nje ya Tanzania inatumika kupitia hawa wanaharakati kuvuruga hii nchi ndiyo maana unawasikia wale mabumunda wanasema Tanzania iwe na serikali ya mpito iongozwe na UN 😩
 
Wewe unanufaika na huu mfumo haramu. Hakuna utakachoandika ueleweke.
 
Wewe hautaki mshahara waufanyie kazi? Wewe haujaona kuanzia Nov 25 mpaka Dec 11 Ulinzi ulikuwa safi?
 
Ustaadhi ubwabwa wewe krimasi isposherehekewa inakuhusu nini, sio ndio utafurahi mfumo kristo na sikukuu zake kudorora. Hatutaki sikukuu sisi tuna misiba ya wenzetu.
 
Wanaukumbi.

HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌

Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi.

Anachokifanya Maria Sarungi na kundi lake ni mfano wa wazi jinsi walivyo na rotten morality towards human beings na imani za watu. Yaani hawajachoka na bado wanataka danu zaidi za watanzania ziendekee kumwagika!.

Yaaani maandamano ya kudai katiba mpya sijui takataka gani zinahusiana vipi na sherehe za Krismasi ambazo ni muhimu kwa wakristo kiimani?

Unakwenda makanisani kudai nini? Yaani mmekosa kufanikiwa kuchochea machafuko na kuangusha serikali huko mitaani sasa mmevamia makanisa na sherehe za kidini!. Hivi mko sawa vichwani nyie watu?

Maria Sarungi na kundi lake walitamani sana wafe watu wengi mno kwa ajili ya kiu yao na ajenda zao! Wameshindwa hilo sasa wako makanisani na wanataka kuwavuruga wakristo na sherehe zao za krismasi.

Tulipokuwa tunawaambia hawa watu wana ajenda zaidi ya mnachokiona hii ndiyo ilikuwa maana yake.! Hawa waliweza kulipa ma bloggers wa Kenya kuwasaidia kufanya uchochezi. Leo waulize wale wakenya wako wapi? Wameshakonboa nchi? Au wamechoka? Jibu ni kuwa kandarasi ya kufanya kazi wakiyolipwa kufanya imefika mwisho na hakuna tena kelele za kukomboa nchi. Sasa jiulize nani alikuwa anawalipa? Na kwa malengo gani haswa? Halafu bado mnajidanganya kuwa hawa ni wanaharakati? 🤓

Halafu yale maandamano yao yasiyo na kikomo yamefikia wapi? Yanaendeleaje labda? Ile porojo yao ya ICC mmeisikia tena au bado wanapeleka ushahidi? Sasa hayo ndiyo mambo mnatakiwa kutafikiria na kutafakari juu ya lengo haswa la watu hawa!..

Wakristo simameni na kemeeni huu upuuzi wanaotaka kuufanya wakiwa na lengo la kuvuruga sherehe zenu za kiimani kwa . Hawa watu hawana hofu ya Mungu na hawana hofu ya kuheshimu imani za wengine ndiyo maana mnaona wanaona ni sawa tu kufanya haya mambo!

Wafukuzeni huko makanisani waje humu nje kwenye siasa tupambane nao vizuri msikubali waingie makanisani huko!. Huku nje wamekwama na kushindwa ndiyo maana sasa wanakimbilia makanisani!

Wakifeki sana Disema 9, na watafeli vibaya sana Disemba 29 na kuendelea!.. Neno letu kwao ni kuwa hela ya NED na Open Society na Ford watairudisha tu mwaka huu 😁

Yaani watanzania waache kusheherekea Krismasi wahangaike na uhuni na pumbavu wa wanaharakati.!.

WITO kwa watanzania ni kuwa kindeni sana hii nchi maana kuna nguvu kubwa sana kutoka nje ya Tanzania inatumika kupitia hawa wanaharakati kuvuruga hii nchi ndiyo maana unawasikia wale mabumunda wanasema Tanzania iwe na serikali ya mpito iongozwe na UN 😩
Harakati zimevuruga nchi siku nyingi sana,kuteka watu,kuwauwa,kuwapiga risasi,kuchakachua uchaguzi,miundombinu mibovu,udini unaopigiwa chapuo na CCM n k .
 
Inaelekea haumjui yule ambae siku yake ya kuzaliwa itaadhimishwa tarehe 25 Desemba. Yesu hakusita kusimamia haki alipoona watu wanaonewa. Alikataa kabisa dhulma. Alihutubia mikutano ya hadhara kuelezea kuhusu haki ya mnyonge na kupinga dhulma. Aliwachapa bakora wale alioona kuwa wana najis imani yake. Hivi unadhani angekuwepo angekuwa upande wa wakina nani?

Amandla...
 
Ritz,
Ni muda wa majuto huu sasa hivi kwenu. You need to have remorse. Mlichofanya ni kitu kibaya mno, mmetoa roho nyingi mno, siyo suala la kumtupia Sarungi wala Mange, hawa hawana madaraka. Nyie mlifyatua risasi.

Maswali ambayo Warioba kajiuliza kila mtu mwenye akili timamnu amejiuliza. Je kulikua hakuna njia nyingine kuepusha vifo vile? Metrain majeshi, mmetumia fedha nyingi sana kununua magari ya washa washa, mabomu ya machozi na ngao za mabarabara makuu. Hivyo vyote hamkutumia, ila tu mliona bunduki.

Aibu kubwa yule Vasco dagama hadi leo anakimbia kimbia ukweli, umeona Warioba alivyokua mkweli??

Ungekua sasa hivi unafikiria sana kinakuja nini, this time tomorrow, Vikwazo, Inflation, who is going to do business with you? Kubwa la zaidi, ICC, acha indictment, hata kuchunguzwa tu, na kuwa na zaidi ya video na picha zaidi ya 300 na ushahidi wa kumwaga damu kiasi hiki, upo katika position gani?

Hii haiwezi kwisha kwa kuwasakama akina Sarungi au Mange, maandam,ano mnayaogopa kwa nini? Ati serikali itaangusha, we don't want you, shuka ngazi we get a new leader!
 
Wanaukumbi.

HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌

Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi.

Anachokifanya Maria Sarungi na kundi lake ni mfano wa wazi jinsi walivyo na rotten morality towards human beings na imani za watu. Yaani hawajachoka na bado wanataka danu zaidi za watanzania ziendekee kumwagika!.

Yaaani maandamano ya kudai katiba mpya sijui takataka gani zinahusiana vipi na sherehe za Krismasi ambazo ni muhimu kwa wakristo kiimani?

Unakwenda makanisani kudai nini? Yaani mmekosa kufanikiwa kuchochea machafuko na kuangusha serikali huko mitaani sasa mmevamia makanisa na sherehe za kidini!. Hivi mko sawa vichwani nyie watu?

Maria Sarungi na kundi lake walitamani sana wafe watu wengi mno kwa ajili ya kiu yao na ajenda zao! Wameshindwa hilo sasa wako makanisani na wanataka kuwavuruga wakristo na sherehe zao za krismasi.

Tulipokuwa tunawaambia hawa watu wana ajenda zaidi ya mnachokiona hii ndiyo ilikuwa maana yake.! Hawa waliweza kulipa ma bloggers wa Kenya kuwasaidia kufanya uchochezi. Leo waulize wale wakenya wako wapi? Wameshakonboa nchi? Au wamechoka? Jibu ni kuwa kandarasi ya kufanya kazi wakiyolipwa kufanya imefika mwisho na hakuna tena kelele za kukomboa nchi. Sasa jiulize nani alikuwa anawalipa? Na kwa malengo gani haswa? Halafu bado mnajidanganya kuwa hawa ni wanaharakati? 🤓

Halafu yale maandamano yao yasiyo na kikomo yamefikia wapi? Yanaendeleaje labda? Ile porojo yao ya ICC mmeisikia tena au bado wanapeleka ushahidi? Sasa hayo ndiyo mambo mnatakiwa kutafikiria na kutafakari juu ya lengo haswa la watu hawa!..

Wakristo simameni na kemeeni huu upuuzi wanaotaka kuufanya wakiwa na lengo la kuvuruga sherehe zenu za kiimani kwa . Hawa watu hawana hofu ya Mungu na hawana hofu ya kuheshimu imani za wengine ndiyo maana mnaona wanaona ni sawa tu kufanya haya mambo!

Wafukuzeni huko makanisani waje humu nje kwenye siasa tupambane nao vizuri msikubali waingie makanisani huko!. Huku nje wamekwama na kushindwa ndiyo maana sasa wanakimbilia makanisani!

Wakifeki sana Disema 9, na watafeli vibaya sana Disemba 29 na kuendelea!.. Neno letu kwao ni kuwa hela ya NED na Open Society na Ford watairudisha tu mwaka huu 😁

Yaani watanzania waache kusheherekea Krismasi wahangaike na uhuni na pumbavu wa wanaharakati.!.

WITO kwa watanzania ni kuwa kindeni sana hii nchi maana kuna nguvu kubwa sana kutoka nje ya Tanzania inatumika kupitia hawa wanaharakati kuvuruga hii nchi ndiyo maana unawasikia wale mabumunda wanasema Tanzania iwe na serikali ya mpito iongozwe na UN 😩
Tangu nikufahamu wewe ni mshambuliaji na mtoa kashfa Kwa Ukristo. Lini umekuwa mtetezi wa sikukuu za Kikristo? Umekuwa mtukanaji na mdhalilishaji wa Ukristo Hadi unapigwa ban na Mods Leo unajifanya mtetezi wa Krismasi? Au Krismasi hii ni ya kiislamu?
 
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Inaelekea haumjui yule ambae siku yake ya kuzaliwa itaadhimishwa tarehe 25 Desemba. Yesu hakusita kusimamia haki alipoona watu wanaonewa. Alikataa kabisa dhulma. Alihutubia mikutano ya hadhara kuelezea kuhusu haki ya mnyonge na kupinga dhulma. Aliwachapa bakora wale alioona kuwa wana najis imani yake. Hivi unadhani angekuwepo angekuwa upande wa wakina nani?

Amandla...
Utakuwepo kwenye maandamano lakini au utakuwa nyumbani umejificha nyuma ya Laptop.
 
Tangu nikufahamu wewe ni mshambuliaji na mtoa kashfa Kwa Ukristo. Lini umekuwa mtetezi wa sikukuu za Kikristo? Umekuwa mtukanaji na mdhalilishaji wa Ukristo Hadi unapigwa ban na Mods Leo unajifanya mtetezi wa Krismasi? Au Krismasi hii ni ya kiislamu?
Wewe ni mmoja kati ya watu waliochoma vituo vya mafuta na kuchoma mwendokasi.
 
Back
Top Bottom