Habari za mida wana JamiiForums.
Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.
Kifupi nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita.
Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa...