King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
My people,
Haya yanayoendelea sasa ni kiporo cha mambo ya nyuma ila bahati mbaya kiporo hiki kinapashwa na ubwabwa wa leo,ndio maana tunaona huu msuguano ambao unaendelea hivi Sasa
Ukiangalia historia huko nyuma TEC imekuwa ikilaumiwa kama kizingiti cha baadhi ya mambo ya Waislamu au haki zao...
Friends and Our Enemies,
Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani ambavyo kanisa katoliki lilimtenga kiasi cha kufikia kuacha au kuachishwa kazi ya ualimu pugu sekondari...
Salaam!
Maskini, mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"?
Uliona wapi hii?
Pia soma > PostGE2025 - Samia to Western Countries: Who are You? They think they...
Licha ya nchi yetu kuwa tegemezi na ombaomba, vitu vingi tunaagiza kutoka nje zikiwemo nchi za Ulaya na Marekani.
Sasa najiuliza, na hawa mabwana nao wakiamua kutunisha misulu kwa kupiga marufuku biashara yoyote ile na Tanzania ikiwemo kutokutuuzia silaha, kutoruhusu ndege zetu kutua nchi za...
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika
Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
anafanya
dar
dar es salaam
genocide
hii
hotuba
hotuba ya rais samia
kazi
kitima
kitu
kusikiliza
majangili
mass killings
nzito
rc chalamila
taarabu
taifa
taifa letu
wakati
wanawake
wanawake wa dar
wazee
wazee wa dar
Hakika Uongozi huwekwa na Mungu.
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam.
Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema.
Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed.
Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
hii
hotuba
jeshi
na rais
nafasi
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
taifa
tena
Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana tanzania haswa kwa iki kipindi watu wanapanga maadamano na itakua effective sana
---
"This is...
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Tulikuwa tunamcheka ayatollah kuwa anaishi kwenye mashimo kama panya
Lakin angalau yule mzee wa kipesian ana maadui kutoka nje
Huyu wa kwetu anaishi mashimoni kama panya na maadui zake ni WA ndani
Kwa taarifa zilizopo sasa wamemkalibia...
Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale.
Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2
Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau...
Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni...
Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what? Hawa jamaa hawajawahi kabisaa kukalia kiti cha decision making. Ni like system imekuwa pre-set kuwa...
Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki.
Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli.
Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
Mwenyewe anadai kuna watu walilipa gharama mara baada ya utawala wa Magufuli kwa kosa la kumtolea kauli chafu mtandaoni. Askofu amedai ana watu wake wa kumfanyia hiyo kazi ya kuwaadhibu watu waliomkosea. Je, Askofu Mwamakula sio mhusika wa genge la WASIOJULIKANA? Kwa maelezo yake ni kwamba genge...
𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗤𝗮𝘁𝗮𝗿
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini.
Qatar kama mshirika wa maendeleo ya...
Nakumbuka katika Moja ya Press ya Gwajima alisema itakuwa ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya.
Leo hii wanahaha kinoma. Mara PM kasema hili, Mara Polisi wamezuia mafuta mara Waziri wa vijana kala spana.
Yote haya mlionywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.