Katika hali hii ungekuwa wewe ungefanyaje

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,609
Reaction score
860,791
Mlinzi wa wanyamapori alikuwa na wakati mgumu sana chui mmoja aliporukia gari lake aina ya Jeep na kuanza kunusa huku na kule.
Alijitahidi sana kutomtazama machoni hadi chui huyo aliporidhika na kuondoka bila kumdhuru

FB_IMG_1756051464619.jpg
 
Wanyama wana tabia ya kukadiria hatari , na kama hawana njaa hawana sababu ya kushambulia kama hakuna hatari , mda mwingine hata simba humpita swala bila kumshambulia kama ameshiba .

Hivyo ningetulia tu kama mwamba hapo na kuepusha hofu na macho kugongana.
 
Ila hapo angekosea kidogo tu akakutanisha macho hali ingekuwa tofauti
 
Wengine ni wachawi achana na ivo vitu uyo jamaa waweza kuta ana madawa yake hapo ss ww jichanganye mm nishashuhudia wasukuma wanasafirisha kundi la ng'ombe kama mia 8 ivi wanapita hifadhini usiku tena kuna simba na chui wa kutosha ila wanatoboa hakuna ng'ombe anaeliwa wala mtu anaekufa na wanafika salama so ivo vitu vingine sio vya kujaribu ka uko empty
 
Upumbavu wa kiwango cha juu kabisa!
 
Back
Top Bottom