Kijana kama unajitafuta nunua nguo rangi hii

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,714
Reaction score
49,743
Kama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver
Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi.

Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema.
Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu 6, 7 ya silver utapendeza nayo kwa muda mrefu ikiwa na rangi yake kabisa.

Hii itakusaidia kwenye budget ya viwalo na kupendeza unapokwenda ofisi za watu kuomba michongo.
Katika kundi la vijana 6 wakaamua kununua suruali siku moja za rangi tofauti tofauti kama kwenye picha hapo juu.

Baada ya miezi 6 kama uvaaji wao unalingana huyo wa silver ataonekana kavaa suruali mpya na wengine kuonekana wamevaa nguo chakavu.
1756440682141_1.jpg
 
Kama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver
Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi.
Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema.
Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu 6, 7 ya silver utapendeza nayo kwa muda mrefu ikiwa na rangi yake kabisa.
Hii itakusaidia kwenye budget ya viwalo na kupendeza unapokwenda ofisi za watu kuomba michongo.
View attachment 3457000
Sawa
 
Katika kundi la vijana 6 wakaamua kununua suruali siku moja za rangi tofauti tofauti kama kwenye picha hapo juu. Baada ya miezi 6 kama uvaaji wao unalingana huyo wa silver ataonekana kavaa suruali mpya na wengine kuonekana wamevaa nguo chakavu.
View attachment 3457000
Orijino ambazo hazichuji ni sh ngapi mkuu? Nataka nipate mbili za kwenda nazo chuoni mwaka huu, ili hata mademu wa chuo wasinione shallow
 
Sio mtalaamu wa mavazi ila kwenye saa chukua lorex nadhani haivuki 30000 kutegemea na ulipo ni saa nzuri Ina muonekano mzuri na utatumia hata miaka 3 bila shida au 4 ukichukua mbili unaweza kwenda hata 8 years for good na unaonekana mtabe achana na hizi za 6000
 
Nipo chaka,sasa nikawa nashangaa huku chaka kadeti zinauzwa elfu 18 afu wilayani elfu 28 punguzo elfu 25 au 23

Sasa siku moja nikanunua huku chaka kwa elfu 18,ile siku nafua kesho nakuta ngoma imepauka kama imeshafuliwa mara 4,ingefuliwa na mwanamke huenda ningesema labda aliifua sana lakin niliifua mwenyew tena kitaalam kabisa

Hapo ndo nikajua tofauti ya kadeti ya elfu 18 na elfu 25
 
😂😂😂😂😂
 
Orijino ambazo hazichuji ni sh ngapi mkuu? Nataka nipate mbili za kwenda nazo chuoni mwaka huu, ili hata mademu wa chuo wasinione shallow
Tafuta kadeti za kampuni ya Dickies,hautojutia
 
Back
Top Bottom