Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,444
- 1,644
Habari za leo !
Naomba nitoe wazo ikiwapendeza Serikali na mamlaka husika muwaruhusu watu au taasisi binafsi watoe mchango yao na nyinyi mfanye ruzuku kiasi kwenye malipo ya Afya kwa watu wote wasio na kipato toshelevu kama wafuatao;
1. Familia masikini
2. Walemavu
3. Wenye mimba
4. Watoto mayatima.
5. Wamachinga
6. Mama lishe nk.
Napendekeza iwepo LOCAL MEDIC AID CARD maalumu ya kuwahudumia watu wenye mazingira magumu na wasiojiweza kifedha.
Hii kadi iwe tofauti na hizo kadi za Bima za afya zenu.
Asante.