hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha hii inakupa taswira gani ?

  2. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Hii damu waliyomwaga ni signature ya ukombozi wa nchi

    Imekwenda ardhini haitapotea kamwe, itaendelea kuwala hadi iwamalize kaanza mama yao, leo kaja madera anakula za uso na maboko yake! Itaendelea kutambaa kama mafuta ya taa na kula kila kichwa kilichohusika na uharamia ndani ya nchi hii, ni suala la muda tu. Sikutegemea itakuwa haraka namna...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu atoa idadi ya Vitu na miundombinu iliyoharibiwa katika vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na...
  4. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b. Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
  5. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuunda hii mashine

    Nahitaji hii mashine kwa ajili ya kukuna maganda ya nje ya nazi ili nipate nyuzinyuzi kama ilivyo kwenye picha. Ukitaka full video ipo na inavyofanya kazi. Nahitaji mtu anayeweza kuiunda na nitainunua kwake
  6. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imekosa wafikiriaji wakuu!

    Unataka watu wasigome ikiwa bado mnafanya siasa zakishamba!, mahitaji ya watu yapo serious we ndo kwanza unaleta wabunge wakununua gari la harusi!.. Hivi Tanzania yasasa ndo kusema wafikiriaji mmeshindwa kabisa kabisa..? Kama hivi ndivyo mnavyoendesha basi hili lazima liwalalie tu!, mnashindwa...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Hii inaitwa Mwana Ukome

    Kuna watu ni Masters wa kupika huko Twitter, na huyu kijana amepata jibu mubashara. Kulinganisha ubora wa CNN ama BBC na ubora wa ITV ama TBC.
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Logic hii, wabongo hawaielewi kabisa!

    huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ... Ricardo nolasco dos santos (rip)
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

    Pitia video hii https://www.instagram.com/reel/DRWg3AgAN-6/?igsh=dTkzMzhlcDE4cHV2
  11. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell

    Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell. Kulingana na kinachoendelea https://youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  13. Agent-47

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii

    Angalizo: Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote. Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma

    Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma. Lakini sisi tunaieleza dunia kupitia televisheni na mtandaoni.
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii kauli ya tutawakata vichwa kwa mapanga ikiichwa, ni rasimi kwamba serikali hii inabariki wauwaji?

    NCHI YANGU KWA SASA INASIKITISHA SANA! Kuona kauli kama hii ya kishetwani ikipita tu bila kuchukuliwa hatua? Inashangaza sana, mpaka muda huu kwa aliyetamka wazi wazi tena mbele ya makamera kwamba atakatakata mapanga watu, bado yupo uraiani Je, nini tafsiri ya kauli hiyo inapoachwa tu na...
  16. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Media zetu ni TAKATAKA unatoaje hii taarifa bila kupost hiyo makala?

    Long way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
  17. This is...

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini hasa wa kiislam hii inawahusu

    Tafadhali sikilizeni hii. Na huu ndio uhalisia wa maisha mtaani Tanzania yote. Nb: Viongozi wa Kiislam jitafakarini sana. Kama ni bahasha na uchawa basi mnajidhalilisha.
  18. useyourcommonsensetothink

    JamiiForums Tanzania Je, hii kauli ina ukweli kwa Tanzania?

    "This battle is going on everywhere on the continent, if not the whole earth. Tanzanians have just realised they were behind. It's the Tanzanians who maintained a rotten system and are responsible for this mess, not CCM. Tanzanians, in general, were not significantly affected by the fall of the...
  19. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliolopwa posho huu inawahusu

    Bonus: Mgodi wa GGML kufungwa December 05. Mwanakulitafuta... Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
Back
Top Bottom