hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kususia uchaguzi ni kujipa stress na kujidhuru mwenyewe hasa kisaikolojia na kujidhulumu kisiasa.

    Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana. Na daima, hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa SERIKALI kuhusu FOLENI ZA dar! Mkipuuzia hii basi nyie wendawazimu

    1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha! 2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

  5. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya hovyo na kindezi: huendi kwenye misiba! Mbona huulizi kwenda kuona wagonjwa au wenye matatizo? Tabia za kichawi hizi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa. Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja. Nani Kala nani hajala Nani anafanya nini. Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu. Subiri ukifiwa ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri haraka, SUGU na Proffesa J, hii Milioni 40 ya Tone Tone, iliyobakia muitafute uwanja wa mkapa, wekeni Kiingilio kiwe Sh;500 tu.

    Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA. Nashauri, Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup. Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Hii sio Dunia ya Serikali kuhodhi ujenzi wa miradi yote mpaka choo- David Kafulila

    Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi. == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma Hii Ya Kulisha Ubongo Itasaidia?

    Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi, Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata, - kukosa muda wa kusoma vitabu. - lugha changamoto sio kwamba hawajui kizungu ila ni kwamba "hawatak suluba ya kubabaika kuelewa" nina...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye interview hii atuwekee hapa in full...Warioba na Jenerali Ulimwengu

    Hii hapa excerpt
  12. JamiiForums Tanzania Sofa hii ina matumizi gani?

    Wakuu hii sofa ina kazi gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Tengeneza sabuni kupitia video hii

    Angalia hii tutorial kisha fanya majaribio. Usisahau kushare nasi matokeo hapa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wenye biashara za hotspot mnapoteza wateja na pesa kwa kununua vifaa feki au kuwapa kazi kina fundi Maiko, Hii wifi ya 3 nakutana na shida ile ile

  16. JamiiForums Tanzania Nina jamaa yangu tangu nimjue hajawahi kuwahi tukikutana. Hii inasababishwa na nini wakuu?

    Always mimi ndo nawahi Nimeshamwambia sana kuhusu ila hanielewi Kama tukisema tunakutana saa 9 mtu anakuja saa kumi na nusu. Kila ukimuuliza anasema kuna foleni Kwani sisi wengine hatuna foleni. Kuna siku nilimwambia nimefika ili awahi, ingawa nilikuwa bado sijatoka. Akasema yuko njiani...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto naomba isiwe kweli, imeniogofya na kunifanya niamke na kuanza kuitafakari

    Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini. Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka Namwomba...
  18. JamiiForums Tanzania Je hili lipo sawa muwekezaji kutoa sharti la namna hii?

    ๐ƒ๐€๐๐†๐Ž๐“๐„ ๐–๐€๐๐“๐’ ๐๐‘๐Ž๐“๐„๐‚๐“๐ˆ๐Ž๐ | ๐Ÿ›ข ๐—”๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜๐—ฒ wants to build a mega oil refinery in Lamu. But there's a catch: They want government protection first. Dangote wants govt to block cheap imported fuel so his Lamu refinery can survive. No company will build for 5+ years if imports can undercut them...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kama unasumbuliwa na aina hii ya vipele nyuma ya shingo/kisogoni ipo dawa rahisi sana

    Mimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana. Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona. Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa dawa 2 vidonda vilikauka haraka ndani ya siku nne tu za mwazoni now niko kabisa . Dawa hii...
  20. JamiiForums Tanzania Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

    Ni watoto wako Ndugu zako wazazi wako Mme wako Mke wako Wafanyakazi wenzako Mabosi wako Wanasiasa wenzako Wafanyabiashara wenzako Marafiki zako Viongozi wa dini yako Wana jf wenzako Walevi wenzako Wanafunzi wenzako, au nani? Nipo hapa stendi ya mabasi, napata kahawa chungu na wakulungwa huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ