hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kununua ps3 iliyo katika hii condition.

    PS3 yangu imepata hitilafu. Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa. Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe, inawaka(inaonyesha kitaa cha kijani) bila kuonyesha picha kwa sekunde 30 hivi halafu inajizima yenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Habari wakuu. Inajulikana Wengi kwenye kujenga tunahofia gharama kubwa za ujenzi. Sasa hapa nimewaletea design ya nyumba ya vyumba vitatu, jiko, dining na sebule ya gharama nafuu. Kinachoifanya design hii kuwa ya gharama nafuu ni sababu hizi kuu tatu muhimu 1. Ina floor area (BuiltUp area=...
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  4. JamiiForums Tanzania Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Video inajieleza
  5. JamiiForums Tanzania Hii inakera sana

    Jamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima . Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata wakitafutiwa kazi wapo hapo hapo na chakusikitisha hawachangii chochote sio luku au chakula wala...
  6. JamiiForums Tanzania Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka! Nyie Sport Pesa mnaifanya Yanga iende kuchukua vikombe vyote msimu ujao

    Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba. Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka Azam sijui ni shilingi ngapi kwa mwaka nimesahau Kama...
  7. JamiiForums Tanzania Hii nchi inahitaji kuongozwa kidikteta, Namkumbuka Hayati Magufuli sana!

    Kuna wakati unafika tunammis JPM kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea kitu walikaa kimya kabisa kama hakuna lililotokea. Samia kawainua wa kima cha chini kwa 70K na wengine...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

    Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
  9. JamiiForums Tanzania Unapenda papuchi kama mimi? Toa lifti kwa pisi kali, hii njia ni hatari sana

    Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa. Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha mabinti, niliamua kutoka na pisi kali tu, yaani nikiona demu mzuri mwenye hips na tacle nikipata...
  10. JamiiForums Tanzania Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo wanalima mazao ya biashara Kama korosho, mbaazi, na tumbaku wanasema mama aongoze hii nchi till she dies

    Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa. Wanasema mama for presidency forever
  12. R

    JamiiForums Tanzania Siku ukiwa Rais mtu wa aina hii utamfanya nini?

    Habari JF, Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti. Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya. Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu ya jina simba kutangulia, kila zinapotajwa pamoja simba & yanga

    Salaam wakuu, wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih. ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo kiprotokali jina la mtoto lazima lianze then la mzazi ndo hufuata, natumai walokua hawajui jambo hili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU WAHESHIMIWE: Kila anayeilaumu serikali kuhusu nyongeza ya mshahara anabambikizwa kuwa mwalimu, tabia hii ikome!

    Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki. Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu wa Makao Upanga na Makao Oysterbay wao siwasikii wakilalamikia nyongeza hii 'Kiduchu' ya 23.3% ya Mshahara?

    Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi. Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
  16. JamiiForums Tanzania Jamani kwenye uelewa na hii kampuni anisaidie "RAISE YOURSELF TO HELP MANKIND(RYTHM)" Foundation

    Jamani kama heading inavyojieleza hapo juu, mwenye kuijua vyema hii kampuni/ foundation anielekeze vizuri. Asanteni
  17. JamiiForums Tanzania Vijana tupambane, soma hii

    Sirjeff Dennis, CEO Exxon is the influencing leader behind the booming investing mania in Tanzania and East Africa. He started his entrepreneurship career at the tender age of 17 years and found himself fortunate enough to receive significant exposure to global opportunities that helped him...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Karia adhabu hii ya Manara imejumlisha na utani wetu?

    Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya kufungiwa miaka 2 na kulipa 20,000,000 ni sehemu ya ukweli huu wa Simba, coastal Union, Yanga, Karia na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuielewa hii...

    Unakuwa mwanaume wa kuchakata mbususu na huna mpango wa kuoa wala nini principle yako ni ya FFF lakini katika kuzila mbususu kuna kuwa na wanawake wenye jina fulani yaani ukikutana nao wewe hufurukuti, ndio wanaokupeleka mbio kweli kweli. Mie kuna kama wanawake wanne hivi wenye jina Patricia...
  20. JamiiForums Tanzania IGP Wambura ameteuliwa ili Viongozi waishi vizuri?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania. “Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…