Hii kweli halali Hawa mabeberu walichomfanyia huyu bushman

N!XAU "BUSHMAN" muigizaji aliefanya kazi ya BILIONI 231 kisha akalipwa LAKI SITA
Jamaa walitumia kutofahamu kwake kumwibia, maana movie ya kwanza alilipwa $300 inasemekana kwa kutojua ni nini akaziachia zipeperushwe na upepo.
Japo kwa kipindi hicho $300 zilikuwa na thamani sana kuliko sasa ila alipigwa sana.
Mpaka anakufa inakadiliwa alikuwa na utajiri wa $100000 tu.
 
Hatasahaulika kwa movie yake ya chupa, kupoteana na wanawe na ile ile mizimu ya kubomoa nyumba za misonge

download.jpeg.jpg
 
Jamaa walitumia kutofahamu kwake kumwibia, maana movie ya kwanza alilipwa $300 inasemekana kwa kutojua ni nini akaziachia zipeperushwe na upepo.
Japo kwa kipindi hicho $300 zilikuwa na thamani sana kuliko sasa ila alipigwa sana.
Mpaka anakufa inakadiliwa alikuwa na utajiri wa $100000 tu.
Hiyo ya kuacha pesa ipeperushwe itakuwa uongo.
 
Kwaiy Kam alikuwa msabato?
ilitakiwa aende airport kupanda ndege bila viza one way to Elen white headcorter USA baby!
Kwani huwajui wasabato masalia ndugu yangu Labda alitaka bush man afanye hivyo kwenda kudai mpunga wake walio mpiga huko mambele!
😅😅😅😅
 
N!XAU "BUSHMAN" muigizaji aliefanya kazi ya BILIONI 231 kisha akalipwa LAKI SITA
Je ulisoma mkataba wake na hao unaowaita mabeberu?

Inferiority tuliyonayo na wivu wa maendeleo inatufanya kuita wenzetu waliotutangulia kimaendeleo majina. Mbona hamuwaiti wachina au warusi mabeberu why they are exploiters of the world.

l
 
Back
Top Bottom