kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,232
- 12,506
Kuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao.
Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa kumhusisha na Yanga na Simba. Binafsi, Chama ni mchezaji mzuri lakini ni WA kiwango Cha Tanzania na Afrika mashabiki TU. Utamuoneze thamani yake kibwege kabisa.