hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Hii ndiyo Tanzania aliyokuwa anaitaka Mwalimu Nyerere

    Hii haipingiki japo Mwalimu Nyerere alifanya mengi mazuri hiyo haimaniishi ya kwamba hakufanya hakuteleza pia Mwalimu Nyerere hii ndiyo Tanzania aliyokuwa anaitaka Mwalimu kwa kujua au kutojua Mwalimu alitengeza uoga kwenye nchi hii watu wawe waoga kuhoji kila kitu wawe bwana ndiyo tu kuna namna...
  2. Kupewa Ujauzito kisha mwanaume kukimbia au kukukataa maumivu yake yataongezwa zaidi na mikesha hii

    Nasikia niseme jambo moja muhimu kuhusu mtoto anayezaliwa, jambo hili ninalisema kwa unyenyekevu mkubwa na upendo mkubwa kwenu dada zangu. Najua si wote walipenda kuwa na hali walizonazo sasa za kupewa mimba au ujauzito kisha wakaachiwa watoto hapo na wanaume waliowapa ujauzito. Ukiangalia...
  3. Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

    Nataka kununua godoro la spring kampuni hii, ushauri kwa waliowahi kutumia
  4. Tuwambie vijana vijiweni uko nchi hii ni mali yao wana haki yakupata mgao wao kama wanavyogombania kodi za nyumba ya familia za urithi

    Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
  5. W

    SI KWELI Je, hii ni kweli imechapishwa na Clouds TV

  6. M

    Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  7. Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

    Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh! Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au? Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
  8. Tafadhali Sana tunaomba mwacheni Polepole hii Nchi yetu sote

    Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake. Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote. Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
  9. Kia wamezidua PV5 EV: Hii ni kwa wapenzi wa family Van!

    Kia wamezindua PV5, bonge moja la electric van kusema kweli kamenivutia muonekano na practicality. Inakuja na electric motor moja, battery utachagua 51kWh au 71kWh, itakufikisha hadi kilometa 400, DC fast charging system ya 150kW ambayo utachaji 10%-80% kwa dk 30 kwenye platform mpya kabisa ya...
  10. Wakili Kibatala afungua shauri kutaka Humphrey Polepole afikishwe Mahakamani (Habeas Corpus)

    ‼️🔥BREAKING NEWS‼️ Habeas corpus case filed to demand Humphrey Polepole to be presented in court! Asante wakili @PKibatala. Huu ndo mwendo sahihi wa kumdai ndugu yetu Polepole! Madhulmat hamjui kuwa tunawaweka kwenye record ili kimataifa tuhangaike na ninyi vizuri! @judiciarytz pokeeni na...
  11. Ushauri wangu kwa hali hii inayoendelea

    Kama baba wa familia, kijana,mke, au kiongozi wa familia nunua vyakula weka ndani hasa wale mlio zoea kununua mchele kilo moja kila siku nunua vya kula vya mwezi mambo yana weza badirika watoto wakafa njaa Unaenda kupambana njee uko lakini una jua familia yako ina chakula cha kutosha ata wewe...
  12. Heche: Muachieni Polepole na viongozi wetu wote haraka

    Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya....... "Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii. Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia...
  13. Winston sigara wamewezaje kukamata soko la bongo ndani ya muda mfupi namna hii?

    Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
  14. Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  15. Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

    GT Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu. Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini. Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
  16. SI KWELI Mdau kwa kutumia ujuzi ulionao bainisha dosari zinazoonekana katika video hii

    Wakuu, Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
  17. Kuna mwenye uzoefu wa hii style humu?

    Kuna mwenye hii style? Inaitwa marehemu magawa mtegua mabomu?
  18. Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

    Akipata kura hata 3 tu basi hii Nchi Ina wajinga wengi kama uyoga. Au Ili uwe jasusi ni lazima uwe na vigezo Gani?
  19. Awamu hii Vijana Wanahasira sana wamefika huku, CCM ijitafakari mara mbili

    GT Jionee mwenyewe mbogamboga wanalazimisha tu mambo hali ni mbaya sana.
  20. GE2025 Je magari , ndege za kijeshi ni Mali ya chama tawala au imekaaje hii

    Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…